2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,226
- 4,923
- Thread starter
- #61
Zoom kile kibaoNimejaribu kucheki Picha zote sijaona Mbagala inayoelea kama Kichwa kinavyosema
Sent using Jamii Forums mobile app
Zoom kile kibaoNimejaribu kucheki Picha zote sijaona Mbagala inayoelea kama Kichwa kinavyosema
""Hili eneo linajaa maji mvua ikinyesha kwa dakika 20. Mitaro ipo lakini imeziba, sijajua mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ni nani na hali hii haioni au ndio kakaa ofisini tu.
Jangwani kukijaa maji tunaona wanavyopambana kuzibua, huku kuna nini?""
[emoji23][emoji23][emoji23] jangwani kwenye ile clab pendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande mwingine, tujiulize na sisi wananchi ambao tumejenga tabia ya kutupa taka kwenye mitaro.Hili eneo linajaa maji mvua ikinyesha kwa dakika 20. Mitaro ipo lakini imeziba, sijajua mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ni nani na hali hii haioni au ndio kakaa ofisini tu.
Jangwani kukijaa maji tunaona wanavyopambana kuzibua, huku kuna nini?
Magufuli usimcheleweshe huyu mzembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hata ukiwaambia waoge na kufulia maji hayo wao poa tu.Mbagala ni kwa wagumu hamna shida
Kwa upande mwingine, tujiulize na sisi wananchi ambao tumejenga tabia ya kutupa taka kwenye mitaro.
Kelele we kibibi uko nje ya mstari.Qur'an 43:
![]()
17. Na anapo bashiriwa mmoja wao kwa yale aliyo mpigia mfano Mwenyezi Mungu, uso wake husawijika na hujaa hasira. 17
Usilaumu kwani kama wewe ni mkazi wa eneo hilo unahusika sana kwa kutupa takataka kwenye mitaro halafu unalaumu viongozi kutokuwa na weledi. Kuna wakati ina bidi moto ukuchome kidogo uonje machungu yake ili iwe funzo [kwa wale werevu]Ukiona mzazi analalamika mtoto amenishinda huyo ni poyoyo... serikali iko wap wakati wanatupa? Kwanin wasipigwe faini kama kila mtu atakutwa akiwa kwenye eneo chafu?
MBAGALA HAKUNA VIONGOZI WENYE WELEDI NI WAZEMBE SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Dar, yote haifai kuishi.
Kwa tabia za wakazi wa Mbagala ni ngumu sana huko kuwako mfumo imara wa usafi.
Sababu kubwa 99% wakazi wa mbagala ni waswahili ambao rafiki yao mkubwa ni uchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu kijana mbona nyie mna Kokobichi sisi hatuwasemi leo sisi tumepata kanakofanana na Kokobichi yenu imekuwa nongwa eti unamtafuta Mkurugenzi wa Manispaa kwani sisi tumekuambia tunataka tujengewe daraja! Tunaomba msije kutalii mtatuletea Korona yenu huku, wenyewe hatupandagi ndege wala pasipoti zenu hatuna tuko salama Korona atatusikia kwa mbali.Hili eneo linajaa maji mvua ikinyesha kwa dakika 20. Mitaro ipo lakini imeziba, sijajua mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ni nani na hali hii haioni au ndio kakaa ofisini tu.
Jangwani kukijaa maji tunaona wanavyopambana kuzibua, huku kuna nini?
Magufuli usimcheleweshe huyu mzembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanza kumsema mkurugenzi wakati kuna diwani hapo kwenye hilo eneo, kama mitaro imeziba basi hao wafanyabiashara walipaswa kuzibua hiyo mitaro,
Kama kuna fedha wanalipa ya ushuru basi mkurugenzi hana budi kuondoa hilo tatizo,
Sent using Jamii Forums mobile app