GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,019
Hapo ni mbagala kabisa.....Ila huo mchanga wa pembeni kama wa baharini kweli!!!
Hapo ni mbagala kabisa.....Ila huo mchanga wa pembeni kama wa baharini kweli!!!
Hapo ni mbagala kabisa.....Ila huo mchanga wa pembeni kama wa baharini kweli!!!
😀 😀 😀 😀
Kweli kabisa mkuu. Mifereji hiyo huwa inazibuliwa Mara kwa Mara. Tatizo ni kwamba wao wameifanya ndio majalala ya taka ya shortcutKwa tabia za wakazi wa Mbagala ni ngumu sana huko kuwako mfumo imara wa usafi.
Sababu kubwa 99% wakazi wa mbagala ni waswahili ambao rafiki yao mkubwa ni uchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri kitu kimoja. Fanya kama research. Either tumia usafiri wako au upande daladala. Anzia Kariakoo mpaka Mbagala Ranging Tatu uone mambo!! Ni safari ndefu mno na yenye kuchosha. Nawahurumia wafanyakazi wanaokaa hukoNilikuwa najiuliza sana mbona matangazo mengi ya watu wanaouza Nyumba zao hapa Dar asilimia kubwa Ni huko Mbagala tena bei ndogo tu. Sasa Leo naanza kuelewa
AhaaUnaanza kumsema mkurugenzi wakati kuna diwani hapo kwenye hilo eneo, kama mitaro imeziba basi hao wafanyabiashara walipaswa kuzibua hiyo mitaro,
Kama kuna fedha wanalipa ya ushuru basi mkurugenzi hana budi kuondoa hilo tatizo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa!! Kwa sababu umeingia kwenye choo cha kulipia basi unye pembeni!!Unaanza kumsema mkurugenzi wakati kuna diwani hapo kwenye hilo eneo, kama mitaro imeziba basi hao wafanyabiashara walipaswa kuzibua hiyo mitaro,
Kama kuna fedha wanalipa ya ushuru basi mkurugenzi hana budi kuondoa hilo tatizo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale mbezi misuna pale pia mbagala maana kuna mafuriko, pale Sinza napo mbagala napo panafurika lakini Jangwani napo panafurika kwasababu watu wa mbagala wachafu Kule Posta nako ni Mbagala ndiyo maana maji yanafurika. Jifunze kuwaza bila boksi. Nakukumbusha kwamba kule mbagala Rangi tatu ujenzi wa Mwendokasi unaendelea hivyo mitaro kujifukia ni kawaida Sana. na mvua iliyonyesha huko mbagala ni kubwa sana na Kama ingenyesha wilaya ya kinondoni Tungekuwa wote tumefunikwa na mafuriko Ila Bahati ya watu wa Mbagala ardhi yao ipo juu hivyo kumezwa na mafuriko ni ngumu. Ndiyo maana hatujasikia kifo. Poleni sana watu wa mbagalaKwa tabia za wakazi wa Mbagala ni ngumu sana huko kuwako mfumo imara wa usafi.
Sababu kubwa 99% wakazi wa mbagala ni waswahili ambao rafiki yao mkubwa ni uchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni udongo ulioziba mitaro umesababishwa na ujenzi wa barabara ya Mwendokasi sasa. Hapo siyo uchafu acheni acheni kutukana wakazi wa mbagala.Kwa upande mwingine, tujiulize na sisi wananchi ambao tumejenga tabia ya kutupa taka kwenye mitaro.
Nakushauri kitu kimoja. Fanya kama research. Either tumia usafiri wako au upande daladala. Anzia Kariakoo mpaka Mbagala Ranging Tatu uone mambo!! Ni safari ndefu mno na yenye kuchosha. Nawahurumia wafanyakazi wanaokaa huko