Picha: Mbagala Rangi Tatu inaelea juu ya maji sasa

Picha: Mbagala Rangi Tatu inaelea juu ya maji sasa

Hivi ule mpango wa Makonda kuleta system ya kutoa kero umefikia wap? Hili eneo sio jipya ni kila mara mvua ikinyesha lakini nahisi kwa sababu Mbagala hakuna waongeaji au wakaaz wemgi ni duni hawajui pa kusemea.

Ila kuna kera sana kipindupindu kikianza kitaanzia hapa mana kuna mama lishe wanapikia juu ya maji sasa hivi unakula ukiwa umesimama

Cha kushangaza watu wameridhika na hiyo hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarafa ya Mbagala imelaaniwa. Usafiri, usafi, maji, kipato, mazingira vyote ni tabu
 
Nilisema hilo bwawa la sitigilazi litaleta madhara makubwa huko mbeleni hawakuelewa bora wangetengeneza kwanza njia mbadala ya maji hiyo yoye ni huo mto walioufunga
Hili eneo linajaa maji mvua ikinyesha kwa dakika 20. Mitaro ipo lakini imeziba, sijajua mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ni nani na hali hii haioni au ndio kakaa ofisini tu.

Jangwani kukijaa maji tunaona wanavyopambana kuzibua, huku kuna nini?

Magufuli usimcheleweshe huyu mzembe.

Kwa namna machinga walivyoachwa wafanye watakavyo Hakuna namna yoyote ya Mbagala kukosa mafuriko , maduka yote yamefunikwa na wamachinga , hivi wafanyabiashara halali wenye maduka makubwa pale wanalipaje kodi ?
 
Hili eneo linajaa maji mvua ikinyesha kwa dakika 20. Mitaro ipo lakini imeziba, sijajua mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ni nani na hali hii haioni au ndio kakaa ofisini tu.

Jangwani kukijaa maji tunaona wanavyopambana kuzibua, huku kuna nini?

Magufuli usimcheleweshe huyu mzembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au zuwia mvua isinyeshe au Hama uende sehemu ambazo hazijai maji wakati wa mvua.

Mkurugenzi ulitaka akufanyie nini?
 
Polen ila ogeleeni tu...
Mmesogezewa ziwa karibu hivyo tumieni fulsa
 
Ndio maana hata huyo Mungu katupunguzia adhabu ya korona.
 
Hao wanaopanga bidhaa juu ya mitaro ndio wanaoziba kwa kutuma maganda ya mahindi na machungwa
Usafi unaanza kwako kwanza,wazibuaji watazibua vipi wakati watu wameweka makongoro na vichwa vya kuku juu ya mitaro
 
Nilikuwa najiuliza sana mbona matangazo mengi ya watu wanaouza Nyumba zao hapa Dar asilimia kubwa Ni huko Mbagala tena bei ndogo tu. Sasa Leo naanza kuelewa
 
Lawama zote kwa chadema.....aise wapinzani nchi imewashinda!!!
Tumieni.....🚢🚣🚁.
 
Vipi Allah ameshindwa kuzuia mvua haribu kunyesha....

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an
Vipi Allah ameshindwa kuzuia mvua haribu kunyesha....

Sent using Jamii Forums mobile app

43:11
43_11.gif

11. Na ambaye ndiye aliye teremsha kutoka mbinguni maji kwa kiasi, na kwa hayo tukaifufua nchi iliyo kufa. Na namna hivi ndivyo mtakavyo tolewa.
11
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom