Picha: Mbagala Rangi Tatu inaelea juu ya maji sasa

Picha: Mbagala Rangi Tatu inaelea juu ya maji sasa

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,226
Reaction score
4,920
Hili eneo linajaa maji mvua ikinyesha kwa dakika 20. Mitaro ipo lakini imeziba, sijajua mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ni nani na hali hii haioni au ndio kakaa ofisini tu.

Jangwani kukijaa maji tunaona wanavyopambana kuzibua, huku kuna nini?

Magufuli usimcheleweshe huyu mzembe.

IMG_20200320_131322.jpeg
IMG_20200320_131956.jpeg
IMG_20200320_131328.jpeg
IMG_20200320_131910.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • video_20200320_132924.mp4
    29.1 MB
  • video_20200320_131752.mp4
    34.3 MB
Dar ilifaa iitwe mkoani chakushangaza mnaita jiji kila siku keep zilezile mafuriko
 
Pamoja na mafuriko hayo lakini maji sehem za kimara niya mgao
 
Hii barabara ndio wanajenga njia ya mwendokasi? Waangalie tusije pata Jangwani 2.0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom