Picha: Mbagala Rangi Tatu inaelea juu ya maji sasa

Picha: Mbagala Rangi Tatu inaelea juu ya maji sasa

Hapo kuna mavi, Kipindupindu, kichocho na kila aina ya parasite.

Hivi mnawezaje kuishi kwenye linchi la namna hiyo?
 
Tatizo kwenu Mbagalaaaaaaa
Mbele nyumba nyuma jalalaaaaa

Hameni huko hakufai!
 
Hapa napingana na wew,wa kumlaumu ni Yule aliewatangazia wamachinga kupanga biashara barabarani,wamachinga wamejenga vibanda kwenye mitaro,unata watu wsafishe vipi mitaro ilhali juu kuna watu,kumbuka ile kauli ya mkuu,sitaki wamachinga wasumbuliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakazi wa mbagala huwa wananifurahisa namna wanavyojali muda, namna daladala zao wanavyozikimbiza na namna abiria wanavyopanda, sote inabidi kujifunza kwao namna ya kujali muda.
 
Au zuwia mvua isinyeshe au Hama uende sehemu ambazo hazijai maji wakati wa mvua.

Mkurugenzi ulitaka akufanyie nini?
Nchi nyingi zime reclaim land ili watu waishi sasa wewe unataka watu wasiishi hapo kwaajili ya msimu mmoja wa mvua? Serikali ihakikishe inaweka miundo mbinu watu waishi. Tatizo litatuliwe sio kulikimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambaneni.... Ni nyienyie mmeandamana mara zote kwenda pokea yale madege airport yasiyowasaidia chochote na sasa yako grounded... Hasara tupu kwa taifa

Mnyooke tu.
 
Pambaneni.... Ni nyienyie mmeandamana mara zote kwenda pokea yale madege airport yasiyowasaidia chochote na sasa yako grounded... Hasara tupu kwa taifa

Mnyooke tu.
Ni kweli kabisa wengi waliounga mkono yale mandege walikusanywa kutoka Mbagala Rangi 3 na buguruni kwa mnyamani
 
Wengi wamejiongeza wamejifilisi wakahamia nje ya mlango wake. Ukienda utakuta frem imefungwa lakini nje kuna biashara na wanapiga hela kuliko walipa kodi
Kwa namna machinga walivyoachwa wafanye watakavyo Hakuna namna yoyote ya Mbagala kukosa mafuriko , maduka yote yamefunikwa na wamachinga , hivi wafanyabiashara halali wenye maduka makubwa pale wanalipaje kodi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikongwe mzima unaropoka kisenge hivyo? Ndio maana unadharaulika kumbe. Ilo povu kwani mm ndio nimekufanya ukawa mjane!!!
Au zuwia mvua isinyeshe au Hama uende sehemu ambazo hazijai maji wakati wa mvua.

Mkurugenzi ulitaka akufanyie nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali na mmachinga nani mwenye nguvu?
Hao wanaopanga bidhaa juu ya mitaro ndio wanaoziba kwa kutuma maganda ya mahindi na machungwa
Usafi unaanza kwako kwanza,wazibuaji watazibua vipi wakati watu wameweka makongoro na vichwa vya kuku juu ya mitaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qur'an


43:11
43_11.gif

11. Na ambaye ndiye aliye teremsha kutoka mbinguni maji kwa kiasi, na kwa hayo tukaifufua nchi iliyo kufa. Na namna hivi ndivyo mtakavyo tolewa.
11
Takataka hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom