Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Hakuna masheikh hapo ni njaa mbele kwa mbele, wenye maono walishasema kuwa ipo siku wababe na wanyonge tutaongea lugha moja na imeshawadi sasa hadi siasa zimeingwa misikitini na makanisani hii yote ni njaa
 
f198609777680ce09636786e7dac8454.jpg

Kwa ufahamu wangu mdogo mkao huu aliokaa Makonda ni sahihi katika kuombewa dua maana kakaa kama yuko kwenye sala. Lakini mbona hajavua viatu ili kukamilisha taratibu za ibada ya kiislamu? Na hao mashehe wanao mwombea dua hawajaliona hilo?
Huu sio usanii wa kisiasa ndani ya dini au mie ndie sifahamu taratibu? Kuna siku hizi dua tutafanyiwa Bar huku Castle lite ya baridi iko pembeni kwa madhumuni ya kiki za siasa.
Pengine hawa mashehe ni waelewa sana na wasomi wazuri. Katika mapokeo ya Kiyahudi viatu vilivuliwa katika maeneo ya ibada kwani viliaminika kubeba uchofu mwingi katika maeneo vilivyokanyaga ikiwa msalani na maeneo mengine. Maana kubwa ya kiroho ni mtu aende eneo la ibada akiwa msafi kiroho na kimwili. Kwa sasa watu wanavalia njuga la viatu wakiacha la usafi wa roho!
 
Makonda komaa hadi kieleweke.
Makonda yupi?? Makonda Daudi au Makonda mtangazaji wa redio??? Siwezi kumlaumu Daudi kwa jinsi anavyohangaika kutafuta maombi, lkn atambue kuwa hakun muujiza wa kubadilisha ukweli kwenye akili za watanzania kuhusu yeye kutumia vyeti vya mtu mwingine.
Tunajua yeye ni kipenzi cha mkulu hatashughulikiwa km sisi , lkn tumeshajua kuwa hana uwezo wowote kichwani, wa kuongoza, wala kubuni jambo likafanikiwa ndio mana mambo yote aliyoanzisha yalifell cz he is empty minded std seven..
 
acheni upoyoyo kwanza hapo haikuwa msikitini mpaka avue viatu, kwani hao waliokuwa wakimwombea hiyo duwa walivua viatu?
Mbona waislam wanafonya ibada au dua popote pale huwa wanavua viatu,haijalishi mskitini au wapi.
 
Ujinga tu, yani tumekosa vitu vya kujadili hadi tunajiabisha kwa vioja vya ajabu kiasi hiki?

Hivi Makonda anawanyima chadema usingizi kiasi hiki?

Je hao mashehe wao wamevua viatu? Je hapo ni msikitini?

Ni upumbavu eti sasa hivi agenda kuu ni Makonda.

Wewe ni nani kukataza asijadiliwe Makonda kama analeta usanii? Mahaba yako kwake hata haja yake waweza iona ni keki, issue kama huipendi kaa mbali lakini usizuie wengine kuiona kwa watakavyo
 
Hivi hii style ya kuombewa ni ya wapi na imeanza llini?
Je maombi haya ni mrejesho wa msaada wa kujengewa ofisi ya Bakwata?
Kubwa zaidi, huko kukaa chini ni amri ya wanaomuombea?
 
Ponda sizani kama anaweza shiriki kwenye hili

Ponda hawezi Mwombea kafiri!

Labda kama alisikimu kwanza,maana sisi waislamu hatuchangamani na hawa watoto wa kambo kiimani japo kijamii tupo pamoja
 
Muombewaji na waombeaji sijui wametumia maombi ya namna gani!!! Mungu anawaona..
 
Wauza ngada chadema mna mambo jamani.

Apunguze hasira ili muendelee kufisadi nchi??
HHivi wewe unafananaje sura? Unajielewa kweli? Chadema waifisadi nchi kama lini? Unaweza kufafanua ni vipi chadema inaweza kuifisidi nchi?
 
Hapo ni maigizo hakuna kuombewa wala nini... baba anapenda kamera huyu kama wemasepetu,halafu Kakosea script ukikaa hvo shurti uvue viatu...
kaombewa na mashehena hawa sio MASHEIKH.. kwanza hiyo dua itaombwaje ombwaje kama sio drama tupu..
 
Mimi pia Sheikh vile vile.
Na namuombea Makonda Mungu amuumbue km anavyo waumbua wanyonge wasio na Hatia.
Amdhalilishe km anavyodhalilisha watu wasiokuwa na Hatia.
Amporomishe Chini km alivyo mporomosha Firaun na Maadui wa haki wengine.
Na ampige maradhi yasio poneka kwa Dhulma anazofanyia watu wasiokuwa na Hatia.

Can i get "Amen" .

Ahsanta.
Amen
 
Back
Top Bottom