Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Hii ni sawa na kuchakachua taratibu za imani ya kiislamu! Halafu Makonda ni mkristo na imani yake inssisitiza kwamba hakuna njia nyngine yoyote ya kumfikia Mungu bila kupitia kwa Yesu ambaye naye ni Sehemu ya Mungu (Neno wa Mungu aliyetwaa mwili wa kibinadamu). Ukristo na uislamu ni mbingu na ardhi. Wakati wakristo wanasisitiza Umungu wa Kristo, waislamu wao wanapinga kwa nguvu zao zote hilo. Zaidi sana na mbaya zaidi Ukristo haumtambui Muhamad SAW kama mtume au nabii wa Mungu. Kudhibitisha hili hakuna sehemu yoyote kwenye Biblia ambapo Muhamad SAW ametajwa!
Lakini pia ili dua ilete maana na iwe effective lazima uwe na imani dhabiti na uwe tayari kufuata Mwenyezi Mungu kupitia kwa mtume wake Muhamad SAW.
Je, ni.lini Makonda amesilimu? By the way, kitendo alichokifanya kiimani hasa ya Kikatoliki kina warranty immediate excomunicationbfrom the church. Hapo ni sawa na kukana imani yake! Kwenye swala la kiimani hakuna demokrasi ya kuamini chochote unachotaka kwamba utaenda mdikutini.leo kesho uende kanisani n.k Hilo halipo. You commit yourself to one or the other. Not both!
Ndio maana hujawahi kumuona Kikwete akipiga magoti kanisani au kufanya ishara ya msalaba au kubarikiwa na askofu! Yeye hukaa zake tu akitazama wanavyofanya wahusika.

Ni kwa mantiki hii naona alilofanys Makondakta ni muendelezo wa maigizo yake ya kutafita kiki!
Kuna wanaodai bakwata ni sehemu ya kanisa, waislamu huvua viatu wakati wa swala/sala.
 
Tobaaa
Dua imedunda.
Allah hasikii dua za waliovaa viatu.
Ukivua anaskia.
 
Nani aliwahi kuhudhuria swala ya kumswalia maiti accoment chochote hapo!!
 
Kama wapo wanaoikumbuka ile hadith ya kijana alietoka safari ya mbali hali ya kuwa chakula chake ni cha haram, kinywaji chake ni cha haram, mavazi yake ni ya haram na amekulia kwenye haram, akanyanyua mikono juu na kumuomba M/Mungu, je dua yake itaswihi.
Anaekumbuka hiyo hana mashaka juu ya huyu
 
Tobaaa
Dua imedunda.
Allah hasikii dua za waliovaa viatu.
Ukivua anaskia.
Imedunda kweli. Ametia udhu? viatu ni vichafu kwakuwa vinaingia hadi chooni. Mitume yote ilivua viatu wakati wa dua
 
Hii sio kiki tena wala sio maigizo tena, mimi nahisi kama ameanza kuchanganyikiwa! Nani anawezafanya tukio kama hili akiwa kwenye normal situation?
 
Viongozi wa serikali wasanii viongozi wa Dini wasanii wanainchi wasanii viongozi wa siasa wasanii nchi ya kisanii sanii kila sehemu
 
Jamani Makonda alisema aliposimama yeye Mungu kasimama sasa dua za binadamu za nini?
 
Haya maigizo,naweza amini sasa anatembeza bahasha,Dua ya kiislamu na masheikh,mtu kakaa na viatu? Bora angesimama tu!!

Vinginevyo atuambie anakiombea cheti chake cha kidato cha nne na sita kitoke sandukuni kilipofichwa na panya!!!

Huyu mtu ataitafuna sana FISIEMU!!
Kabisa yaaaani watu wanacheza na imani hivi hivi Duwa inaombwa mtu akiwa amevaaaa viatu kweli jamaniiiiiiiiiiii
Mmmmmhhhhhhh haya ngoja tuone tunapopekwenda ila hapo hata mwenyeeeeezi mungu haipokei hayo maombi
 
katika uislamu hakuna utaratibu kama huu umekaa na mimbuti ya viatu kwenye mameza namna hii kama kanisani, kwanza makonda sio muislamu.

Acha uongo wako Dua inaombwa popote pale , na dua kuombewa si mpk uwe muislam tuu, muislam anaweza hata kumuombea mbuzi, ngamia je hivyo viumbe vina dini?kuhusu viatu sawa lkn pia inategemea hupo katika mazingira gani, mfano umekamatwa na majambazi wanataka kukuua utavua viatu upige dua ?? Mungu upokea dua kwa yoyote na muda wowote hata ukiwa uchi wa mnyama.
 
Kabisa yaaaani watu wanacheza na imani hivi hivi Duwa inaombwa mtu akiwa amevaaaa viatu kweli jamaniiiiiiiiiiii
Mmmmmhhhhhhh haya ngoja tuone tunapopekwenda ila hapo hata mwenyeeeeezi mungu haipokei hayo maombi

Magaidi upiga dua wakiwa na AK 47 na mikanda ya kujilipua je hivi maswali hayo ndugu zangu tunajiuliza kweli kuhusu Uislam na duwa?na hapo wakitoka kupiga duwa wanaenda kuchinja watu. Duwa popote wakati wowote Mungu wako ataipokea tuu
 
Avue viatu yupo msikitini.?.acheni usanii.mwacheni afanye kazi zake
 
Back
Top Bottom