Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Jifunze kuelewa maana ya najisi. Nguruwe kwa waislamu ni najisi lakini kwa wakatoliki ni nyama tamu ya kuliwa. Kwangu mimi kitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi!!
Nashukuru mkuu, nilifikiri ni najisi generally, sikujua kama ni kwako tu.
 
Mbona kavaa viatu ? sio najisi kweli, hapo atakua kakanyaga mikojo na vitu vingine vichafu
 
Mungu aangalie viatu, Mungu anacho angalia nini unamaanisha/nia ya wanamaombi na anaye ombewa.
 
Hahaaaaaaa!nimecheka mie! Au anataka kuslimu!!! Halafu kwa nini hajavua viatu?
 
ce76765486e651f9fd35329f55f4fb4d.jpg
 
Hapo mwanzoni, shetani alikuwa kajificha ndani ya kundi la malaika, Makonda ngoja ukutane na Lisu kizimbani, utalikumbuka jina lako halali
 
Labda hawajala ubwabwa siku nyingi hivyo wanautafuta kwa kila namna.

Wanafiki wakubwa
Njaa mbaya Sheikh wa Dar es salaam ndio muongozaji wa komedi hii,na anazifukuzia fedha za GSM kwa nguvu kubwa
 
Back
Top Bottom