Vyote vyote,chezes fisiemu weyeHawa ni masheikh au makada wa CCM?
Vyote vyote,chezes fisiemu weyeHawa ni masheikh au makada wa CCM?
Mkuu hata wewe pia jiangalie utakuwa hujamuelewa Allen.Una akili timamu mkuu Allen, au uko under alcohol influency
Mkuu hata wewe pia jiangalie utakuwa hujamuelewa Allen.Una akili timamu mkuu Allen, au uko under alcohol influency
Duuh.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Mawazo finyu, mbn mnafikira potofu. Wats wrng Makonda akiombewa mnapungukiwa nn.Akitoka hapo anaenda kwa Masogange na kumtongoza Wema.
Hatukuachii kibano kipopaleple[emoji90]Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Hao ni wachumia tumbo wakiongozwa na Alhad MussaHawa ndio wanaotudhalilishia Dini yetu.
Na sisi tunaopenda Ukweli nafasi za Usheikh hatupewi hata tupigane na mizinga.
Hebu mtumeni huyo makonda akaombewe Dua na Sheikh mpenda HAKI na Msema Kweli al allama Sheikh Ponda uone km hakutolewa na Bakora za makalio.
Hao SIO MASHEIKH bali ni MASHEHENA. Yaani Mizigo kwenye Dini hii Tukufu.
Hongera Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mr Makonda unaombea baraka na Viongozi wa dini.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Ulitakaje[emoji90] [emoji196] kwa mfanocomment nyingine utadhani qualification ya kuombewa ni kuwa malaika.
Yetu?Kitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi kwa nchi yetu!!
Hapo sio nasjid ungesrma chachi sawaHapo ni maigizo hakuna kuombewa wala nini... baba anapenda kamera huyu kama wemasepetu,halafu Kakosea script ukikaa hvo shurti uvue viatu...
Sio Mashehe ni MAKADA wa FISIEMMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Kiombea ni moyo siyo jengoHapo sio nasjid ungesrma chachi sawa
Asa avue viatu ili iwejeKiombea ni moyo siyo jengo