Hii ni sawa na kuchakachua taratibu za imani ya kiislamu! Halafu Makonda ni mkristo na imani yake inssisitiza kwamba hakuna njia nyngine yoyote ya kumfikia Mungu bila kupitia kwa Yesu ambaye naye ni Sehemu ya Mungu (Neno wa Mungu aliyetwaa mwili wa kibinadamu). Ukristo na uislamu ni mbingu na ardhi. Wakati wakristo wanasisitiza Umungu wa Kristo, waislamu wao wanapinga kwa nguvu zao zote hilo. Zaidi sana na mbaya zaidi Ukristo haumtambui Muhamad SAW kama mtume au nabii wa Mungu. Kudhibitisha hili hakuna sehemu yoyote kwenye Biblia ambapo Muhamad SAW ametajwa!
Lakini pia ili dua ilete maana na iwe effective lazima uwe na imani dhabiti na uwe tayari kufuata Mwenyezi Mungu kupitia kwa mtume wake Muhamad SAW.
Je, ni.lini Makonda amesilimu? By the way, kitendo alichokifanya kiimani hasa ya Kikatoliki kina warranty immediate excomunicationbfrom the church. Hapo ni sawa na kukana imani yake! Kwenye swala la kiimani hakuna demokrasi ya kuamini chochote unachotaka kwamba utaenda mdikutini.leo kesho uende kanisani n.k Hilo halipo. You commit yourself to one or the other. Not both!
Ndio maana hujawahi kumuona Kikwete akipiga magoti kanisani au kufanya ishara ya msalaba au kubarikiwa na askofu! Yeye hukaa zake tu akitazama wanavyofanya wahusika.
Ni kwa mantiki hii naona alilofanys Makondakta ni muendelezo wa maigizo yake ya kutafita kiki!