Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Ya Kapuya hayahalalishi umbumbumbu wa LEMA, Kama LEMA hajaenda shule, hajaenda tu! Kumlinganisha Msomi mwenye Masters na Standard Seven Leaver sio Haki Kabisa.

mtu kukubalika kwenye siasa ni kutokana na kukubalika na watu na watu kutambua ni nini ulicholenga kuwafanyia sio kuangalia umesoma mpaka wapi wewe!
 
hakuna dhambi kuu katika dunia hii kama uoga.
Na pia mkumbuke kunatofauti kubwa kati ya geep kibanda wazi na v8. Mungu awe nanyi....!!!
 
mtu kukubalika kwenye siasa ni kutokana na kukubalika na watu na watu kutambua ni nini ulicholenga kuwafanyia sio kuangalia umesoma mpaka wapi wewe!

kabisa mkuu...
 
Hakuna wakumfananisha na Zitto Chadema nzima na wanajua Hilo,Zitto kisiki cha Mpingo. Kataeni tuu kwa uzembe na chuki lakini kajana kichwa...

Si Dr.Slaa si Mbowe si Mnyika, si Lissu atakayeweza kulingana au kufanana na zitto kwa Usaliti.! Zitto ni zaid Ya ulijuavyo.!
 
Kesho kutakuwa na Kikao Ofisi ya CCM Mkoa kujadili mapokezi na tathmini yake kwa ujumla kama wamefanikiwa au La.
 
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024

View attachment 128038View attachment 128037
Tujadili namna wabunge hawa vijana walivyo pokelewa majimboni kwao...
View attachment 128050

Hivi wewe una akili timamu au? Hauwezi kulinganisha mapokezi ya hao watu wawili hata siku moja. Labda tu Uwe kibaraka, mchumia tumbo au mbulula wa upande mmoja.
Nasema hivi kwa sababu
Mapokezi yanatofautiana. Zito amevuliwa nyadhifa zote ndani ya chama, amerudi nyumbani kwao kupata huruma, sympathy kwa ndugu zake. Waha wengi wao hawajasoma, wana elimu ya darasa la Saba, hawana kazi,
pia mkoa wa Kigoma wakazi wake wengi ni waha. Wabishi na hawana uelewa wa mambo, wanapenda kufuata mkumbo ili waonekane wanajua. Hivyo ni lazima wajitokeze kumpokea kaka yao. Huwa wanachukia sana "wakabila" kama huwajui muulize zito.
Lena alikuwa akitoka kwenye kesi ilimrudishia ushindi, ilikuwa ni furaha, wakazi wengi wa arusha ni kutoka sehemu mbalimbali za tanzani, wengi sana elimu na pia wale walioishia darasa la saba wana uelewa zaidi ya wa Kigoma. Hiki na manispaa. Arusha ni mji wa biashara. Wengi walikuwa makazini, au kwenye shughuli binafsi.
Acha kunipa matumaini uliyonayo kichwani. Viongozi wa chadema Kigoma walipanga vurugu kwenye mkutano wa katibu wao. Si ajabu. Soma thread ya chadema kasulu
 
Cpend kujadili watu, I prefer tujadili issues, hili siyo jukwaa la simple mind its for average mind who discuss events and strong mind only who discusses issues/Ideas,
 
km ni wingi wa watu..picture za mahakamani.NMC,ngarenaro,soweto za Lema ni kufuru...
 
Kesho kutakuwa na Kikao Ofisi ya CCM Mkoa kujadili mapokezi na tathmini yake kwa ujumla kama wamefanikiwa au La.

haha..nadhani hata hawatakaumbuka kujadili mkutano wao wa sanawari...
 
Hivi wewe una akili timamu au? Hauwezi kulinganisha mapokezi ya hao watu wawili hata siku moja. Labda tu Uwe kibaraka, mchumia tumbo au mbulula wa upande mmoja.
Nasema hivi kwa sababu
Mapokezi yanatofautiana. Zito amevuliwa nyadhifa zote ndani ya chama, amerudi nyumbani kwao kupata huruma, sympathy kwa ndugu zake. Waha wengi wao hawajasoma, wana elimu ya darasa la Saba, hawana kazi,
pia mkoa wa Kigoma wakazi wake wengi ni waha. Wabishi na hawana uelewa wa mambo, wanapenda kufuata mkumbo ili waonekane wanajua. Hivyo ni lazima wajitokeze kumpokea kaka yao. Huwa wanachukia sana "wakabila" kama huwajui muulize zito.
Lena alikuwa akitoka kwenye kesi ilimrudishia ushindi, ilikuwa ni furaha, wakazi wengi wa arusha ni kutoka sehemu mbalimbali za tanzani, wengi sana elimu na pia wale walioishia darasa la saba wana uelewa zaidi ya wa Kigoma. Hiki na manispaa. Arusha ni mji wa biashara. Wengi walikuwa makazini, au kwenye shughuli binafsi.
Acha kunipa matumaini uliyonayo kichwani. Viongozi wa chadema Kigoma walipanga vurugu kwenye mkutano wa katibu wao. Si ajabu. Soma thread ya chadema kasulu

home boy..
hujaeleweka hasa unataka kusema nini...
 
Wanajua walicho kifanya kwenye mapokezi hayo CCM wametumia pesa nyingi sana kuratibu....
ACHENI porojo nyinyi...
Mapokezi yenu mnataka tuyakubali ...?
Ya zitto mnataka tuamini yameandaliwa kwa Pesa..?

OK basi Kesho zitto anabadilisha kabila anakuwa mchaga kama LEMA ,mtaacha kumpikia majungu ?
 
Hakuna kitu kizuri hapa nchini kama kuwa na sapoti ya serikali na chama twala.
 
mtu kukubalika kwenye siasa ni kutokana na kukubalika na watu na watu kutambua ni nini ulicholenga kuwafanyia sio kuangalia umesoma mpaka wapi wewe!

Mwambie LEMA aende kusoma elimu ya watu wazima, acha kumpotosha, zama hizi bila elimu ni ngumu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom