Hii ndiyo michango ya Zitto, Mbowe na Lema Bungeni

Status
Not open for further replies.

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
250
Zitto Zuberi Kabwe
Chadema
Questions (10)
Supplementary question (39)
Contributions (149)

Mbowe Aikael Freeman
Chadema
Questions (6)
Supplementary question (34)
Contributions (46)

Lema Jonathan Godbless
Chadema
Questions (1)
Supplementary question (2)
Contributions (12)

Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki

Source: Parliament of Tanzania
 
Kimori2015

Member
Nov 28, 2013
15
0
We acha ujinga umesahau lema mlikuwa mmembambikizia kesi?? aliyoshinda kwa yule mama yenu buriani?
Lema Jonathan Godbless
Chadema
Questions (1)
Supplementary question (2)
Contributions (12)

Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki
 
Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
250
We acha ujinga umesahau lema mlikuwa mmembambikizia kesi?? aliyoshinda kwa yule mama yenu buriani?
Lema Jonathan Godbless
Chadema
Questions (1)
Supplementary question (2)
Contributions (12)

Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki

Hahahaha!.
 
The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,686
2,000
kama hico ndicho kipimo, basi awe Rais wa nchi maana hata Kikwete hakuwahi kuchangia kihivyo ............ Lowasa (Mgombea wa CCM 2015) hana michango zaidi ya 10.
 
Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
250
kama hico ndicho kipimo, basi awe Rais wa nchi maana hata Kikwete hakuwahi kuchangia kihivyo ............ Lowasa (Mgombea wa CCM 2015) hana michango zaidi ya 10.

Naona leo mna jifananisha na MaCCM, kumbe kuna haja gani ya mabadiliko na nyinyi ni walewale?.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,891
2,000
We acha ujinga umesahau lema mlikuwa mmembambikizia kesi?? aliyoshinda kwa yule mama yenu buriani?
Lema Jonathan Godbless
Chadema
Questions (1)
Supplementary question (2)
Contributions (12)

Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki
Na Mbowe je?
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,992
2,000
Mpumbafu tu mleta uzi. Angalia hoja zake zimechangia nini kwa mabadiliko chanya kwa nchi yetu?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom