Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Msaliti ZZK hakuna wa kufananishwa naye.

Sioni bendera , Tshirt na magwanda ya CDM katika mapokezi haya ya Mh. ZZK, kulikoni?
 
Tofauti nikwamba kuna mwasiasa Mhe Lema na mchumia tumbo zitto kufananisha mapokezi nikama kumonea zitto uwazi kufananisha mbunge mwenye madiwani wawili na mwenye madiwani kumi na tano.
 
Tofauti nikwamba kuna mwasiasa Mhe Lema na mchumia tumbo zitto kufananisha mapokezi nikama kumonea zitto uwazi kufananisha mbunge mwenye madiwani wawili na mwenye madiwani kumi na tano.
Jina lako lina uzito sawa na maoni yako. Huwezi kumfananisha mchaga na muha ndani ya CDM ya mzee Mtei.
 
acha ushamba wewe majambazi wawe wote hao basi tz imeisha halafu nani anajiamini bungeni hata anapowasilisha au kutetea hoja acheni hizo lema ni jembe muacheni chali wa R amekuja kuwashika

Mimi sikumbuki hoja yoyote iliowasilishwa Bungeni na Lema, kuwasilisha hoja tofautisha na kuchangia hoja.kumlinganisha Lema na ZZk inabidi mtu uwe hujaenda shule ndio waweza hivyo,au labda chuki zako ziifunike akili yako.
 
Kumlinganisha Lema na Zitto ni kudhalilisha Zitto.

huwezi kumfananisha mtu anayepumuliwa kisogoni na mtu anayehudumia taifa kumfananisha zitto na lema ni kumdhalilisha sana zitto
team zitto
 
Si Dr.Slaa si Mbowe si Mnyika, si Lissu atakayeweza kulingana au kufanana na zitto kwa Usaliti.! Zitto ni zaid Ya ulijuavyo.!
Usaliti mmeuwona wa zitto tuu lakini usaliti wa Mbowe kula good time na kimada sio usaliti, au wafanya wao tuu akifanya Zitto inakua mwao?
 
Ni makosa makubwa kumfananisha Zito v Lema,sawa kumfananisha tembo na mbwamwitu.
 
kwanza nshindwa kuelewa lengo lako ni lipi kwa kulinganisha picha, cha kwanza uko bias,katika kuweka picha kubali ukatae zitto jimboni kwake anakubalika sana, pili kusema kuwa ccm ndo wameandaa je huo mkutano wa lema umeandaliwa na nani acha siasa za chuki chadema ni ya kwetu sote tuaangalie tunaijenga vipi leo hii unakuja na mada kama hiyo wakati unajua wote ni wanachama wa chama kimoja, na kamati kuu ilishaamua..je zitto ni mwana chama chama gani na lema ni chama gani leta mada za kukisaidia chama na siyo kushindanisha vitu ambavyo havikisaidii chama
 
huna taarifa za ukweli umetumwa kukichafua chama coz wote bado ni wanachama na zzto ana kubalika kuliko lema ndio maana alipewa vyeo vyote alivyokuwa navyo pia katika uchaguzi alimnadi lema jimboni kwake arusha,sema tu zitto ariharbu humu kati kati lakin katika swala la power zitto ana power ya influence kuliko lema......chadema ni wakweli kama kweli ni mwana chadema utakubaliana na mim,i lakini ukikataa nyie ndo wale munaotumwa na chama cha kijana kwa lengo la kuharibu na kuendeleza chuki na ndo maana munaongea mambo ambayo hata kamati kuu wamekaa kimya nyie mumo tu, kila siku zitto zitto hamana kazi ya kufanya kwa sasa tuna tunatka njia ni namna gani ya kukijenga kwa ajiri ya kuchukua madaraka 2015 na siyo kuwajadili watu,tujadili chama
 
kwanza nshindwa kuelewa lengo lako ni lipi kwa kulinganisha picha, cha kwanza uko bias,katika kuweka picha kubali ukatae zitto jimboni kwake anakubalika sana, pili kusema kuwa ccm ndo wameandaa je huo mkutano wa lema umeandaliwa na nani acha siasa za chuki chadema ni ya kwetu sote tuaangalie tunaijenga vipi leo hii unakuja na mada kama hiyo wakati unajua wote ni wanachama wa chama kimoja, na kamati kuu ilishaamua..je zitto ni mwana chama chama gani na lema ni chama gani leta mada za kukisaidia chama na siyo kushindanisha vitu ambavyo havikisaidii chama

Barubaru na wenzako woote kwa taarifa yenu hakuna "Stronghold ya Chadema" kali kuliko Arusha mjini. Msimlinganishe Zitto na Lema hata kidogo. Kama mnabisha vaeni mashati ya kijani kasha upite vichochoroni au Ungalimited na Sombetini usiku huku unashabikia CCM kama hujachinjwa kama kuku. Chadema bila Zitto inawezekana wala msijidanganye hata kidogo. Zitto mpeni jukumu la kufuatilia MABILIONI YA USWISI awaachie wanachadema CHADEMA yao.
 
Usaliti mmeuwona wa zitto tuu lakini usaliti wa Mbowe kula good time na kimada sio usaliti, au wafanya wao tuu akifanya Zitto inakua mwao?

Kula good time ndio kuuza chama? mbona ubongo wako umepinda? tatizo la zito ni kuhujumu chama kwa kutumiwa na ccm,kumbuka maccm yameua makamanda wetu kibao na hatuwezi kumuamini yeyote mwenye uswahiba nayo! walisema cdm itakufa kumbe ni kwa kumtumia zitto? mbona shujaa wenu haongelei kuhongwa na TISS? Na kwanini katika mapokezi yake hatuoni makamanda zaidi ya masalia na wanaccm tu? CDM IMUFUKUZE TENA HARAKA!
 
Crashwise
waganga njaa wa Bavicha mnaweweseka Zitto ni kiongozi wa kitaifa mziki wake mzito kama jina lake lilivyo; ni mwanasiasa wa kweli Lema ni mtu wa maslahi hivi Lema ana umri gani? hadi sasa amehama vyama vingapi?? Huyo ni mwizi tu hata wananchi wa Arusha wanajutia walichokifanya! Muulize babu yenu anayetembea na majanaba atakupa jibu sahihi!
 
Last edited by a moderator:
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.

Umemuelewa mleta uzi,au umerukupuka kutoka usingizini ukakumbuka ulikuwa hujakamilisha post zako za siku ili upate huo ujira wako wa siku?
Mleta mada amelinganisha mapokezi ya wanasiasa wawili hawa ZZK na Lema kwenye majimbo yao.wewe umekurupuka na mfano usiostahili kwenye uzi huu hasa mleta uzi alichokiandika.
Amezungumzia Mapokezi,sasa labda utueleze utofauti huo ulioulinganisha na kichuguu kwa mlima.maana ulinganifu unaweza ukawa wa Elimu,au Elimu na kuelimika na hata elimu ile kuwa na tija kwa taifa,maana ni elimu kwa kodi za wananchi,inaweza ikaea ni ulinganifu wa kuongea sana,kuimba,misimamo,umaarufu,kukubalika,na hata usaliti,yote hayo ni mifano michache tu ambayo ww sasa utueleze kwa mapana na specific ulinganifu ulioukusudia wewe na sio aliousema mleta uzi.vinginevyo mpunguze kukurupuka.
 
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
hoja yako imejaa mapenzi binafsi bila hata chembe ya ushahidi.humu jf kuliendeshwa poll ya nani ni mashuhuri kati ya Zitto na Dr slaa,ile poll ilioneshe mheshimiwa Dr wa ukweli anampita kwa mbali mno huyo Zitto wako.wakati dr alikuwa na kura 98000, zitto alikuwa amepata kura 7000 tu!! na hata leo hii ikiendeshwa kura ya maoni nani mkali kati ya mh Lemma na huyo zitto wako utashangaa.kifupi Zitto amepoteza popularity yake ndani ya chama na nje ya chama labda kidogo huko ccm ambako anatumikatumika hapa na pale kukihujumu chama cha CDM.

Fanya uchunguzi kidogo utagundua kuwa wanao mtetea humu JF wote ni book 7 au ccm.sasa jiulize shida yote hii wanaipata ya nini? mimi nilitegemea wafurahi kuona CDM wanaanza kudhoofika kwa kumpoteza mtu mhimu lakini inakuwa ni kinyume chake! you know why? he was their agent!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom