Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

kwa hiyo yote yabayoonekana kwenye picha za lema ni majambazi.. kama ni elimu hata prof kapuya ni msomi lakini kazi anayoiweza ni kusambaza ukimwi kwa watoto yatima...

Ya Kapuya hayahalalishi umbumbumbu wa LEMA, Kama LEMA hajaenda shule, hajaenda tu! Kumlinganisha Msomi mwenye Masters na Standard Seven Leaver sio Haki Kabisa.
 
Ya Kapuya hayahalalishi umbumbumbu wa LEMA, Kama LEMA hajaenda shule, hajaenda tu! Kumlinganisha Msomi mwenye Masters na Standard Seven Leaver sio Haki Kabisa.

lema siyo la saba ni darasa la pili. sasa twende vipi mapokezi ya huyo kibaraka wenu na mapokezi ya Kamanda Lema..
 
kwa kuwa wewe huwa unatumwa basi kila mtu anatumwa...kwamwendo huu wa ccm safari hii mtapata kura elfu tano(5000) kati ya kura 100,000..

Nani amekutuma ulinganishe mapokezi ya LEMA na Mapokezi ya Zitto?
 
Nani amekutuma ulinganishe mapokezi ya LEMA na Mapokezi ya Zitto?

angalia nilijiunga lini jf halafu tumia akili kidogo tu ujiulize thread zote huwa natumwa na nani..
 
Uko sawa kwani mapokezi ya Zitto hayana sura ya Ki~chadema,hayafananii kabisa na peoples power???Ni chama gani hicho kipya anachotaka kukianzisha???

ukiangalia picha namna jukwaa lake lilivyo kuwa limelebwa ni wazi ni ccm..
 
Mapokezi ya Zitto yaliandaliwa na CCM Kigoma na ndiyo maana wananchi wa Kigoma wameyapuuza.

Wananchi wa Kigoma ni wafuasi watiifu wa Chadema kwa hiyo kwa ujumla mapokezi hayo yalisusiwa na wafuasi wengi wa Chadema.

Lema yeye alilakiwa na Wanachadema kwa sababu maandalizi yalifanywa na viongozi wa Chadema mkoa.
 
Kwa hiyo tofauti ni kwamba Zitto kapokelewa na wazee wasiojitambua na Lema amepokelewa na vijana wanywa viroba...

huyu mvuta bangi unayemwita wewe pimbi ana akili na namna ya kukupigania wewe na mapimbi wenzako wa maccm mkala uku mmekaa,lakini huyo msaliti wenu mnayemtetea ana lolote zaidi ya hoja za kinafki mlizokuwa mnamtengenezea hili aonekane ni kichwa kumbe sasa hivi ni mkia tena wa sungura mfupiii!wasaliti wote ndani ya Cdm wameshika adabu muhulizeni yule aliyetoka kwa magamba sasa hivi kwisha na 2015tunawaweka kapuni mkitaka muwachukue.
 
Kiukweli Mapokezi ya Zitto yametia Aibu sana.WanaCCM waliojitokeza kumlaki ni wachache sana na matarajio yake!
 
Huwezi kumfananisha Zitto na huyo muhuni wa Arusha lema

Lema hawezi kumsumbua kichwa mtu yeyote CHADEMA labda yule kilaza mwenzake msigwa
wonders shall never end in tz. y black belt & not......!!???????????
 
huyu mvuta bangi unayemwita wewe pimbi ana akili na namna ya kukupigania wewe na mapimbi wenzako wa maccm mkala uku mmekaa,lakini huyo msaliti wenu mnayemtetea ana lolote zaidi ya hoja za kinafki mlizokuwa mnamtengenezea hili aonekane ni kichwa kumbe sasa hivi ni mkia tena wa sungura mfupiii!wasaliti wote ndani ya Cdm wameshika adabu muhulizeni yule aliyetoka kwa magamba sasa hivi kwisha na 2015tunawaweka kapuni mkitaka muwachukue.

Kwi Kwi Kwiiiii...

Umeua!
 
kwa kuwa wewe huwa unatumwa basi kila mtu anatumwa...kwamwendo huu wa ccm safari hii mtapata kura elfu tano(5000) kati ya kura 100,000..

wewe pimbi kweli unafikiri ni gamba gani au mzigo gani utasimama na kamanda na mpigania haki na mbunge wa A.mjini mheshimiwa Godbess?
 
Mpaka 2015, vifaranga vita taga manake majogoo yanazidi kuongezeka!!
 
Kiukweli Mapokezi ya Zitto yametia Aibu sana.WanaCCM waliojitokeza kumlaki ni wachache sana na matarajio yake!

kunamtu kanijuza kuwa vijana wametwangana baada ya kurushana posho kutoka kwa dr Alex..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom