MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!
We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!
Mapokezi ya Zitto yalikuwa niya kawaida tu ikizingatiwa wengi tulioenda hasa sisi Chadema chama na sio wale Chadema Zitto tumeenda kumsikiliza anakuja na porojo gani? na hao ndio tulikuwa wengi.Tumemsikia hakuna jipya tofauti na kutafuta hurumakwetu!
Wanajua walicho kifanya kwenye mapokezi hayo CCM wametumia pesa nyingi sana kuratibu....
Natumaini unamjua vizuri ZZK, kama humjui tafadhali kaa kimya, ZZK ni kama Panya...huyu jamaa siasa zake ni za kung'ata na kupuliza, si mtu anayefanya jambo kwa kujenga chama bali kujijenga yeye mwenyewe, hafai kabisa kijana huyu mpaka abadirike na ni lazima abadirike kama anataka kusonga mbele na siasa za bongo, mwambie aache kiburi cha kujiona yeye ni zaidi ya chama na wengine.
Siasa za ZZK zimejaa ukabila, ukanda na like lingine ambalo wewe unalishabikia, angalia nani yupo nyuma ya ZZK then tafakari...
Huyu kijana mwezetu hafai hata kuwa kiongozi wa mtaa maana atawagawa wananchi wote kwa itikadi zake na mambo yake.
Tufikie wakati watu kama ZZK watolewe CDM kwa manufaa ya chama hata kama kuna gharama ya kulipa kwa hilo, why ndani ya CCM kuna heshima ya vikao ingawaje kuna makundi, ni lini ulisikia CCM wakitoa tamko lao kuhusu viongozi wao dhaifu na hao dhaifu wakatoka na kutoa matamko yao au kwenda kwao kufanya mikutano?
Mawaziri watano waliitwa, wakaambia nyinyi mzigo kwa chama, umewasikia kuja kwa media, kuitisha press conference, kulalamika FB na twitter? Why hawajafanya hili? Na unafikiri kwa nini?
Kwanini ZZK anapenda kutumia media kuzungumzia habari za chama na wala si kwenda ofisi za chama na kusema kama kweli ana agenda ya kujenga chama, kila kitu ni FB na twitter why?
Ili kutegeneza discipline ndani ya chama lazima kuchukua maamuzi magumu bila kuangalia ukubwa wa Samaki, kama ni kuvua wavuliwe tu bila hivyo kutokuwa na CDM ZZK, CDM Mbowe, CDM Dr. Slaa, Kaskazini, Magharibi...etc
Ifikie wakati chama kwanza majina binafsi baadaye na hili ndiyo wengi tunataka, majina yapo, yanakuja na yatapita ila chama kitizidi kuwepo na kushamirikama tukiamua kujenga chama na wala si watu.
Nani alikuwa na nguvu kama Augustino Lyatonga Mrema kwenye siasa za TZ, yupo wapi sasa? Tuache siasa za majina na tujenge vyama kwanza, CDM bila ZZK, Mbowe, Slaa na wengine inawezekana kama tukiamua kuchukua maamuzi magumu.
hatuna haraka naye, ila ieleweke kuwa tunamfukuza tunafata taratibu za chama tu...
Ni makosa makubwa sana kumfananisha MINI KABANG na Mheshimiwa Zitto
Hapa naanza kupata picha halisi ya jina lako maana umekosa akili kama msalani kwenyewe kulivokosa hadhi. hizo ni hujuma tu ambazo ni za kinafiki wewe ni ccm then unajifanya unaionea huruma chadema why usiionee huruma ccm inayonuka na ubovu wa mawaziri wake.take care acha that shit zitto mwenyewe mmepokea ccm wenyewe unaleta pumba jf inataka watu punctual
huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.
hahaaaaaaaaaaaaaaa!!!
...Dada Rose Huyu ni wa kumsamehe tu yuko hapa mnara wa mwenge anaganga njaa!!
Nina wasiwas sana kuwa ndani ya chadema vijana wengi hawana akili nzuri
kwa akili za kawaida kabisa huwexi kumfananisha lema na zitto...ney haipo
darasa la saba na masters holder hamna ulinganifu
x jambazi (lema ) vs zitto ( mzalendo) hamna ulinganifu hapo
Lema alipokewa na majambazi wenzie
Umefuzu kozi ya matusi inayoratibiwa na BAVICHA, sasa unaweza kuwa mbeba ma-file na begi la laptop ya BABU.Ni kweli ,kama ilivyo kosa kumfananisha aliyemtoa bikira mama yako mzazi ,na baba yako aliyekuta mama yako kabikiriwa,watu washachukua madini!
misukule ndio mnaganga njaa, kutwa nzima mnashinda jamiiforums mkipost matusi!
We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!