Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
sasa hivi wako busy kumtetea Zitto kuliko chama chao...
Kwa sasa wanayo kazi kubwa sana....sasa hivi wamejipa tena kibarua cha mizigo...CDM wanakwenda wamalizia palepale .
sasa hivi wako busy kumtetea Zitto kuliko chama chao...
Mwambie LEMA aende kusoma elimu ya watu wazima, acha kumpotosha, zama hizi bila elimu ni ngumu sana!
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.
Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.
Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
ni makosa makubwa kulinganisha mapokezi ya lema na zitto kwa maana wanatokea miji tofauti, yenye idadi ya watu tofauti na wenye hamasa tofauti.
Ni kweli kabisa mkuu hakuna wa kufanana na Zito ndani ya CHADEMA. Hakuna wa kufanana naye kwa unafiki, usaliti na kiburi. Pia hakuna wa kufanana naye kwa kupika majungu na kujitafutia sifa binafsi. Hakuna ndani ya CHADEMA.
Na wewe unavyompenda Mbowe unaweza pia kumusabilia kama unamtete kwa uzinzi...Ulitaka uliwe wewe, acha kuingilia mambo binafsi mwachie Lilian Mbowe labda kama wewe ni lilian Mbowe...
Ya Kapuya hayahalalishi umbumbumbu wa LEMA, Kama LEMA hajaenda shule, hajaenda tu! Kumlinganisha Msomi mwenye Masters na Standard Seven Leaver sio Haki Kabisa.
CDM jeuri yakumfukuza Zitto hawana na wala hawatakua nao,Kahongwa wewe ulikua shaidi wakati anahongwa au ndio nyie mlozowea kuambiwa,ebu fikiri kiume wewe...Kula good time ndio kuuza chama? mbona ubongo wako umepinda? tatizo la zito ni kuhujumu chama kwa kutumiwa na ccm,kumbuka maccm yameua makamanda wetu kibao na hatuwezi kumuamini yeyote mwenye uswahiba nayo! walisema cdm itakufa kumbe ni kwa kumtumia zitto? mbona shujaa wenu haongelei kuhongwa na TISS? Na kwanini katika mapokezi yake hatuoni makamanda zaidi ya masalia na wanaccm tu? CDM IMUFUKUZE TENA HARAKA!
Nina wasiwas sana kuwa ndani ya chadema vijana wengi hawana akili nzuri
kwa akili za kawaida kabisa huwexi kumfananisha lema na zitto...ney haipo
darasa la saba na masters holder hamna ulinganifu
x jambazi (lema ) vs zitto ( mzalendo) hamna ulinganifu hapo
Lema alipokewa na majambazi wenzie
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.
Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.
Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
Huwezi kumfananisha Zitto na huyo muhuni wa Arusha lema
Lema hawezi kumsumbua kichwa mtu yeyote CHADEMA labda yule kilaza mwenzake msigwa
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024
View attachment 128038View attachment 128037
Msaliti ZZK hakuna wa kufananishwa naye.
Sioni bendera , Tshirt na magwanda ya CDM katika mapokezi haya ya Mh. ZZK, kulikoni?
Tunis akili zako acha kutumoa akili za wanaume wenzio WA lumumba kama Zitto Ni jembe basi si mumchukue mkampe majukumu lumumba?? LEMA jembe wewe tizama mapokezi yake hapo c yeye kama yeye Bali Ni chama Zitto Ni chotara mixer uvccm NA maccm... Zitto Ni jembe ccm LEMA Ni jembe Tanzania Ni kiboko ya magamba -------