Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
lema arusha1.JPG
lema arusha3.JPG

View attachment 128038 zitto.jpg
Tujadili namna wabunge hawa vijana walivyo pokelewa majimboni kwao...
lema-watu-arusha.jpg
 
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
 
Kweli Mkuu zzk Hana wakumlinganisha CDM kwa usaliti wake
 
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.

Kwa hiyo tofauti ni kwamba Zitto kapokelewa na wazee wasiojitambua na Lema amepokelewa na vijana wanywa viroba...
 
bungeni utaona ukweli upo wapi.

Labda jaribu kuangalia records zao Bungeni na hata hoja zao wanapotoa .Pitia ansard za bunge uone michango yao bungeni na mengineyo utaona tu nani kichwa na nani galasa.

Pole sana

Wewe muda wote unawaza kuosha watoto wa kiarabu tu, kwenye mada hii tunazungumzia mapokezi na si bungeni...
 
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.
Ivi Kweli binadamu wote tulichobeba juu ya Mabega ni vichwa?
 
ni makosa makubwa kulinganisha mapokezi ya lema na zitto kwa maana wanatokea miji tofauti, yenye idadi ya watu tofauti na wenye hamasa tofauti.

Kwani Zito alipata kura ngapi na Lema alipata kura ngapi?
 
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.

Kumbe sisi watu wa Arusha ni wavuta bange? Tutaonana kwenye sanduku la kura come 2015. Wakati ule Lema ulimpa over 67k votes ambazo zilikuwa more than twice ya yule mama wa ccm.

Sasa hivi tutawakomesha ili mjue bange nayo sometimes iko rational.
 
Hakuna wakumfananisha na Zitto Chadema nzima na wanajua Hilo,Zitto kisiki cha Mpingo. Kataeni tuu kwa uzembe na chuki lakini kajana kichwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom