Baada ya Zitto sasa ni Kikwete

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Jana mbunge wa Arusha mjini mhe. Godless Lema alimtaka mbunge wa Kigoma Kazikazini mhe. Zitto Zuberi Kabwe kuwa ampatie majina ya watu walioficha mabilion nchi uswiss wakati Lema akisubilia majina kutoka kwa Zitto, gafla AG Werema aliibuka kusiko julikana na kuweka wazi kuwa zitto kwa kiapo hana majina wala account za walioficha mabilion huko uswiss.

Sasa basi ni wakati mwafaka kwa Mbunge Godbless Lema kuomba majina ya wauza unga ambao Kikwete alishawahi kusema anayo lakini leo mwaka wa saba hatujawahi kutajiwa licha ya Lukuvi nae kuthibitisha kuwa siku majina yakitajwa hakuna mbunge atakae baki salama.

Kwa kauli hiyo bungeni tumejaza wauza sembe na watimiaji wa sembe yaani madawa ya kulevya na Kikwete anawajua.

Ni wakati mwafaka sasa tutajiwe majina hayo au Werema atoe kauli kama ya jana kuwa kwa kiapo Kikwete hana majina ya wauza unga.Asanteni naomba michango yenu.
 
lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894
500
Naunga mkono hoja!

Kikwete amkabidhi Mh Lema hayo majina ASAP! watanzania wana haki ya kufahamu ukweli. Wauza unga wanawaharibu sana vijana wetu.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,413
2,000
Au kama Kikwete anaogopa kuwataja kwa vile wangine ni watu wa karibu naye basi ampe LEMA ambaye amesema kumtaja mhalifu haihitaji kinga ya aina yeyote hiyo ni kutwanga tuu.
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,297
1,250
Rais Kikwete ni msikivu licha ya udhaifu wake kiuongozi, bila shaka ni wakati sasa wa mh Lema kuomba hayo majina yawekwe hadharani.
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,870
2,000
Jana mbunge wa Arusha mjini mhe. Godless Lema alimtaka mbunge wa kigoma kazikazini mhe. Zitto Zuberi Kabwe kuwa ampatie majina ya watu walioficha mabilion nchi uswiss wakati Lema akisubilia majina kutoka kwa Zitto, gafla AG Werema aliibuka kusiko julikana na kuweka wazi kuwa zitto kwa kiapo hana majina wala account za walioficha mabilion huko uswiss, sasa basi ni wakati mwafaka kwa Mbunge Godbless Lema kuomba majina ya waiza unga ambao kikwete alishawahi kusema anayo lakini leo mwaka wa saba hatujawahi kutajiwa licha ya Lukuvi nae kuthibitisha kuwa siku majina yakitajwa hakuna mbunge atakae baki salama
kwa kauli hiyo bungeni tumejaza wauza sembe na watimiaji wa sembe yaani madawa ya kulevya na kikwete anawajua ni wakati mwafaka sasa titajiwe majina hayo au werema atoe kauli kama ya jana kuwa kwa kiapo kikwete hana majina ya wauza unga.Asanteni naomba michango yenu.

Ama kweli hawa watawala wa ccm wanatufanya mazuzu wa kutuzuga. Kiukweli namimi naamini kikwete hana
 
Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,290
2,000
hivi unaweza kumfananisha rais kikwete na mtu kama lema? mkuu Crashwise ata kama unafilisika kifikra si kwa kiwango hiki,kutuletea thread za kitoto. Zitto alikuwa anahojiwa na kamati iliyochaguliwa na bunge kwa kiapo, sasa mnataka from no where rais nae afanye hivyo kwa misingi gani? tuweke itikadi pembeni tujadili mada
 
Last edited by a moderator:

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Jana mbunge wa Arusha mjini mhe. Godless Lema alimtaka mbunge wa Kigoma Kazikazini mhe. Zitto Zuberi Kabwe kuwa ampatie majina ya watu walioficha mabilion nchi uswiss wakati Lema akisubilia majina kutoka kwa Zitto, gafla AG Werema aliibuka kusiko julikana na kuweka wazi kuwa zitto kwa kiapo hana majina wala account za walioficha mabilion huko uswiss.

Sasa basi ni wakati mwafaka kwa Mbunge Godbless Lema kuomba majina ya wauza unga ambao Kikwete alishawahi kusema anayo lakini leo mwaka wa saba hatujawahi kutajiwa licha ya Lukuvi nae kuthibitisha kuwa siku majina yakitajwa hakuna mbunge atakae baki salama.

Kwa kauli hiyo bungeni tumejaza wauza sembe na watimiaji wa sembe yaani madawa ya kulevya na Kikwete anawajua.

Ni wakati mwafaka sasa tutajiwe majina hayo au Werema atoe kauli kama ya jana kuwa kwa kiapo Kikwete hana majina ya wauza unga.Asanteni naomba michango yenu.

Mtukufu Mheshimiwa Dr Dr Dr Kikwete please naomba umpe majina ya wauza unga Kamanda Lema ayataje haraka. Hakuna itifaki kuwataja wahalifu
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
mpaka leo jioni atakuwa amemkabidhi majina vingine tunamaswali ya kujiuliza..
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
hivi unaweza kumfananisha rais kikwete na mtu kama lema? mkuu Crashwise ata kama unafilisika kifikra si kwa kiwango hiki,kutuletea thread za kitoto. Zitto alikuwa anahojiwa na kamati iliyochaguliwa na bunge kwa kiapo, sasa mnataka from no where rais nae afanye hivyo kwa misingi gani? tuweke itikadi pembeni tujadili mada

kwa hiyo kikwete na lukuvi wako juu ya sheria..kikwete ampe lema majina kuepusha watu kuendelea kuamini kikwete anamasilahi kwenye jambo hilo hii ni kwa moyo safi kabisa..
 
Last edited by a moderator:

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Mtukufu Mheshimiwa Dr Dr Dr Kikwete please naomba umpe majina ya wauza unga Kamanda Lema ayataje haraka. Hakuna itifaki kuwataja wahalifu

kabisa kamanda Mungi kwanza nashangaa watu kuleta siasa kwenye jambo hili..kikwete mpe majina lema awataje maana tumekusubili ututajie kwa miaka 7..
 
Last edited by a moderator:

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,180
2,000
kama bange imehalalishwa kwa wenyeji (moja wapo ya nchi za bara la Amerika ya kusini) ndivyo na sembe lihalalishwe TZ
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,110
2,000
Kuna mtu anarecords za safari za JK CHINA. Our key economic development partners??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom