Ni kweli ,kama ilivyo kosa kumfananisha aliyemtoa bikira mama yako mzazi ,na baba yako aliyekuta mama yako kabikiriwa,watu washachukua madini!
hahahahhahaha jf bwana! tusi murua kwa hilo gamba
Ni kweli ,kama ilivyo kosa kumfananisha aliyemtoa bikira mama yako mzazi ,na baba yako aliyekuta mama yako kabikiriwa,watu washachukua madini!
Watakuja wana Lumumba hapa... utawaskia.
Hivi wewe ni mwanaumme au mwanamke hizi tabia mbona kama za le mutuzCrashwise
waganga njaa wa Bavicha mnaweweseka Zitto ni kiongozi wa kitaifa mziki wake mzito kama jina lake lilivyo; ni mwanasiasa wa kweli Lema ni mtu wa maslahi hivi Lema ana umri gani? hadi sasa amehama vyama vingapi?? Huyo ni mwizi tu hata wananchi wa Arusha wanajutia walichokifanya! Muulize babu yenu anayetembea na majanaba atakupa jibu sahihi!
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.
Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.
Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
huna taarifa za ukweli umetumwa kukichafua chama coz wote bado ni wanachama na zzto ana kubalika kuliko lema ndio maana alipewa vyeo vyote alivyokuwa navyo pia katika uchaguzi alimnadi lema jimboni kwake arusha,sema tu zitto ariharbu humu kati kati lakin katika swala la power zitto ana power ya influence kuliko lema......chadema ni wakweli kama kweli ni mwana chadema utakubaliana na mim,i lakini ukikataa nyie ndo wale munaotumwa na chama cha kijana kwa lengo la kuharibu na kuendeleza chuki na ndo maana munaongea mambo ambayo hata kamati kuu wamekaa kimya nyie mumo tu, kila siku zitto zitto hamana kazi ya kufanya kwa sasa tuna tunatka njia ni namna gani ya kukijenga kwa ajiri ya kuchukua madaraka 2015 na siyo kuwajadili watu,tujadili chama
Sasa kama unaona anakufaa sana si umchukue akawemwenyekiti nyumbani kwenu...Doctor Barubaru
Aa Al akh Kama ulikuwa kichwani mwangu but hawa bavicha wako hot headed washalishwa sumu na viongozi wao hata haki huwa hawaioni. Wao ni usaliti na unafiki ambao hakuna evidence zaidi ya hadithi za kale ati huyu kafanya hiki yule vile upuuzi mtupu.
Umeiona speech ya Zitto kuna data muhimu katoa sioni bavicha kutia mguu wao
Wewe unamjua Baba yako, je Mama yako leo akikwambia mimi ndiyo baba yako utabisha....usiropoke tu wamama ndiyo wanajua nani ni mtoto wa nani....
akili za kigongo gongo hizi...uko glass ya ngapi saa hizi??? maana Babu aliona viroba anaingia gharama kubwa sana kuwanunulia sasa ni mwendo wa Gongoo kwa kwenda mbele
Kwani wewe umeshajidunga madawa tayari...
Pro-Chadema sasa hivi mmeamua kujikita kwenye matusi na kupongezana kwa kutukana, alafu nyie ndiyo mpewe nchi? teh teh tehhahahahhahaha jf bwana! tusi murua kwa hilo gamba
Niko glass ya tatu, vipi umeshajidunga sindano ngapi mpaka muda huu...
Usaliti mmeuwona wa zitto tuu lakini usaliti wa Mbowe kula good time na kimada sio usaliti, au wafanya wao tuu akifanya Zitto inakua mwao?
Kijana msome gamba na matusi yake halafu post tena...Pro-Chadema sasa hivi mmeamua kujikita kwenye matusi na kupongezana kwa kutukana, alafu nyie ndiyo mpe nchi teh teh teh
Mia tatu tu mpaka sasa..unaandika utumbo namna hii??Je ukimaliza Jeroo si unajibakisha kwa nguvu
Rudi kwenye mada vipi kina wenu jana kavuna aibu kubwa sana pesa aliyosambaza halafu watu ndiyo hao....