Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Kwanz kabisa G.Lema alichaguliwa na watu takribani 60,000. acha zilizoaribika na kupotea,Wakati zito alipata kura elf 20 tu,
si kweli kuwa anakubalika,Hizi mikutano za zito zina mamluki kutoka chama cha kijani,
na kama anaona yeye ni zaidi ya Chadema,Si aanzishe chama chake?
Taasisi kubwa kama Chadema, Haiyumbishwi kamwe maana Uongozi wake ni Mamlaka Kamili"
 
Nimecheka sana mkuu, za kupotea...
mkuu umesahau kuweka na hii picha kudhibitisha mkutano kaandaliwa na chama cha mizigo(ccm) check bendera zinazpamba uwanja na rangi ya kijani
1508041_635388069856601_1839075101_n.jpg
 
Ni upuuzi kumlinganisha mh. mbunge Zitto na huyo muhuni mwenzenu pili population ya Arusha na Kigoma ni tofauti kabisa (Arusha ina idadi kubwa ya watu ukilinganisha na Kigoma) labda kwa kukusaidia tulinganishe mapokezi ya Zitto na Dr. Slaa maana wote wameenda Kigoma na wote wamepata mapokezi.
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024

View attachment 128038View attachment 128037
Tujadili namna wabunge hawa vijana walivyo pokelewa majimboni kwao...
View attachment 128050
 
Huwezi kumfananisha Zitto na huyo muhuni wa Arusha lema

Lema hawezi kumsumbua kichwa mtu yeyote CHADEMA labda yule kilaza mwenzake msigwa
 
Kwanz kabisa G.Lema alichaguliwa na watu takribani 60,000. acha zilizoaribika na kupotea,Wakati zito alipata kura elf 20 tu,
Taasisi kubwa kama Chadema, Haiyumbishwi kamwe maana Uongozi wake ni Mamlaka Kamili"
Kwahiyo ulitaka Zitto achaguliwe na watu gani zaidi ya wana Kigoma Kaskazini?
Kwa kuanza anza na kujua idadi wa watu wa Kigoma halfu ujue na idadi ya watu wa Arusha.
Halafu nani kakudanganya CHADEMA ni taasisi kubwa? Taasisi kubwa haina hata ofisi? Taasisi kubwa haina hata shs mia kwenye akaunti ya benki? acha kupotosha UMMA.
 
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.

Unaota ndoto za mchana hakuna aliye maarufu zaidi ya chama,we unajua umaarufu aliokuwanao kaburu? he zito akifa leo inamaana chadema itakufa kigoma?
 
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024

View attachment 128038View attachment 128037
Tujadili namna wabunge hawa vijana walivyo pokelewa majimboni kwao...
View attachment 128050

Kwa Zitto wanywa gongo wengi sana walikuwa mbele na ni watoto wa bodaboda hapa ni watu wazima woye hakuna mtoto angalia nawe useme .Nani kavua shati hapo ?
 
Malori mangapi yalitumika kumpokea zito? chama cha mizigo ndo waratibu japo hamfikii Rais wa ARUSHA hata nusu
 
Tofauti ya Zito na Lema ni kuwa zito hakuwahangaikia wanakigoma Mwenzie Lema yupo mioyoni mwa Wanachadema arusha na Zito kakiri kwenye hotuba yake kuwa yeye anahangaika na mambo ya watanzania na si ya wana kigoma. Na ukitafuta uungwaji mkona kati ya lema na zito, na wanachadema Lema ni zaidi ya Zito
 
Hakuna wa kumfananisha na zitto huko chadema. Huu ni utoto kabisa kujaribu kumweka kapu mmoja zitto na lema.

Yani hapa wewe umefamya kama wafanyavyo commedian kufanya vitu visivyo vya kawaida.

Godbless J Lema anatakiwa kufananishwa na msigwa au wenje ndio wanaendana hata uwezo wa kufikiri.

Hata ukiangalia aina ya watu wanao pokelewa na lema utagundua kabisa kumlinganisha na zitto ni kumuonea.

Mtu mropokaji na mwenye jaziba kama lema huitaji kujiuliza ni watu wa aina gani watamshangilia lema.
 
Last edited by a moderator:
tofauti ya zito na lema ni kuwa zito hakuwahangaikia wanakigoma mwenzie lema yupo mioyoni mwa wanachadema arusha na zito kakiri kwenye hotuba yake kuwa yeye anahangaika na mambo ya watanzania na si ya wana kigoma. Na ukitafuta uungwaji mkona kati ya lema na zito, na wanachadema lema ni zaidi ya zito

hivi lema ana ungwa mkono na watu wa aina gani?
 
Crashwise kwa staili hii ya ku-compare kuna siku utakuja kutuwekea picha ya mapokezi ya Dr. Slaa alipoenda Marekani na Zitto alipoenda Mtwara kisha ukataka watu waeleze ni nani alipokewa na Wazungu kama ndo ishara ya kukubalika!!
 
Last edited by a moderator:
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.

fanananisha mapokezi yao tu , hayo mapovu mengine sijui umeyatoa wapi?
 
Zitto lazima akubali kwamba alikosea na uchu wake wa madaraka utamharibia cv yake. Umri wake bado sana hata kuoa hajaoa tujue kama anaweza kulea familia yake. Sasa anataka kuingoza watu ambao wamemlea si ujinga huo?
 
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.

Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.

Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.

Huyo Zitto wako hakubaliki hata kwao,zaidi ya nusu ya wapiga kura hawamtaki,katika uchaguzi wa 2010 alipata 48.57% hana chake Kigoma!
 
Zitto ni zaidi ya tasisi looh, yani hapo ata wngeenda kamati kuu na wabunge wote wa chadema bado zitto angewazidi. Zitto mpk ifike 2015 lazma atalaza watu kwa BP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom