Tafsiri ya wao kwa wao imenipa shida kabla sijatafakari picha...
Hapo wakijichanganya tu MCHEPUKO UNATAKE PLACE!!!!
Hapo wakijichanganya kidogo tu unaweza kushtukia jamaa amechukua mke wa mwingine bila kudhamiria
Hapo wakijichanganya kidogo tu unaweza kushtukia jamaa amechukua mke wa mwingine bila kudhamiria
Wanaweza kuonjeana
Du afadhali waliishia hapo, mi nilifikiri amempa na tunda,walipomaliza jamaa akasema asante wakati mume wake asemagi asante alafu jamaa akauliza chooni ni wapi ndo demu akashtuka kumbe ni shemeji yake yaani pacha la mume wakeImenikumbusha dada mmoja aliwahi kunisimulia jinsi alivyowahi kujichanganya kwa pacha wa mume wake. Alikuwa ameolewa na mume ambaye alikuwa na pacha mwenzake, siku za mwanzo za ndoa yao alikuwa anashindwa kutofautisha kati ya mumewe na shemeji yake, ambaye alikuwa pacha wa mumewe. Siku moja alivyorudi nyumbani akamkuta shemeji yake amefika akaanza kumchangamkia na kufanya vituko ambavyo ni maalumu kwa wanandoa au wapenzi tu. Baada ya muda akastaajabu kuona mbona mwenzake ameduwaa/kapigwa na bumbuazi. Kuja kutahamaki akagundua ni shemeji yake............
Ndoa ikiisha tu wakwangu namtia alama takoni
Xaxa akafanyaje mbona umeishia kama ndio unaanza?Imenikumbusha dada mmoja aliwahi kunisimulia jinsi alivyowahi kujichanganya kwa pacha wa mume wake. Alikuwa ameolewa na mume ambaye alikuwa na pacha mwenzake, siku za mwanzo za ndoa yao alikuwa anashindwa kutofautisha kati ya mumewe na shemeji yake, ambaye alikuwa pacha wa mumewe. Siku moja alivyorudi nyumbani akamkuta shemeji yake amefika akaanza kumchangamkia na kufanya vituko ambavyo ni maalumu kwa wanandoa au wapenzi tu. Baada ya muda akastaajabu kuona mbona mwenzake ameduwaa/kapigwa na bumbuazi. Kuja kutahamaki akagundua ni shemeji yake............
Xaxa akafanyaje mbona umeishia kama ndio unaanza?