CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Dah... Inapendeza ila wakubali kuchepukiana!!!
Hayo mawazo yako usinilishe maneno.Stori tuu ilivyoishia kama Bongo movie vile ndio kilichonishangaza.ulitaka aseme akampa tunda la mti wa kati mkuu
Xaxa akafanyaje mbona umeishia kama ndio unaanza?
Ndoa ikiisha tu wakwangu namtia alama takoni