JF NAOMBA MSIUFUTE UZI HUU ILI TUELIMISHANE TUACHE MABAYA TUFANYE MEMA!!!!
CCM IMEKUWA IKITUMIA MBINU HIZI KTK KAMPENI MIAKA YOTE 55. NAWASHAURI WAACHANE NA MBINU HIZI ZA DIVIDE & RULE KWANI ZITALETA MAUAJI
JANA KTK MKUTANO WA KUFULI KAHAMA AJENDA KUU ILIKUWA UDINI,UKABILA,UKANDA,UONGO,VIT ISHO,SLOGANI
*****CCM KUWENI MAKINI MBINU HIZI WATANZANIA WALIKWISHA WASHITUKIA SASA MNAPOKUWA MIAKA YOTE NINYI MNATUMIA NJIA HIYO TU BILA KUJISITUKIA MNAONEKANA MABOYA!!*****
***TUNAWANYWA MWAKA HUU***NA NINYI MUANZE KUPANGA FOLENI MAHOSPITALI HUKU MKIKOSA DAWA****
****MKAKUMBANE NA ADHA YA RUSHWA HOSPTALI****MKAFIE HOSPTALI KWA KUKOSA DAWA****
@@BAADA YA KUWASITUKIA JANA KADI YENU NIMEICHOMA MOTO NA NIMEJIVUA RASMI SINA CHAMA****ILA KURA YANGU NAIPELEKA KWA LOWASA WA MABADILIKO******
NI MTU GANI ASIJALI AMANI YA TAIFA KISA ANAUROHO WA KWENDA IKULU???NIMEWAPIGA CHINI NYOOOOOOOO! NIMESITUKA DUH!
****************************** ****************************** ***************************
kwanza naomba kudeclare interest; mimi ni mwanaccm kindakinda na nasema haya kwa lengo moja wagombea tuheshimu haki za binadamu na tusiwachukulie kama nyumbu ,ng'ombe,mizigo au mifugo.
Nilikuwa siamini kama haya mambo yanafanywa na chama changu lkn jana kwa macho yangu mwenyewe nimejionea pale kahama mkutano wa kufuli, mimi sikubahatika huhudhuria kwa sababu ya shughuli za biashara zangu ndogondogo kunitinga, sasa wakati mkutano unaisha nikiwa maeneo ya fantom niliona malori ya kubebea mkaa na pamba yameja watu wengi sana huku yakiwa mwendo kasi kuelekea isaka,kagongwa, watu wamejazana kikwelikweli ndani ya malori hayo kitu ambacho sio salama
sasa najiuliza hivi mabilioni yaliyo andaliwa na chama changu kwa ajiri ya kupambana na ukawa kwa nini yasitumike kukodi mabasi ili kuonesha kuwaheshimu wapiga kura?
Kwanini watu wa usalama barabarani wapo kimya au wanasubiri ajari itokee ndio waje kuzungumza?
Nasikitishwa sana na wanaccm wenzangu ukiweleza kuwa hili sio salama wanakimbilia majibu mepesi eti hawakulazimishwa? Hapana hii sio sawa kama watu wale wangeng'amua kuwa wanavunja sheria ya usalama wasinge panda malori hayo kwahiyo basi, elimu itolewe kwao ili waepuke kujidhalilisha kama mizigo/mifugo
utafikiri ni malori ya ng'ombe yanapeleka mnadani? Hii sifurahishwi nayo. Ndio maana wakati mwingine chama hiki kinadharau maoni yetu ktk katiba ya warioba kwa kututafsiri kama nyumbu/mifugo
duniani kote mikutano haina maana ya kuwasafilisha watu kama ng'ombe mgombea huwafuata waliko na kunadi sera za chama chake. Au watu wenyewe bila kupewa 1000,2000,3000,5000,10000 kwa mapenzi yao wajigaramie kupanda magari/usafiri wa abiria na sio malori waje mkutanoni. Utakuta malori yanasomba kutoa watu km90 du! Sijapenda kabisa. KAMA NDIO HIVI SIIONI DHAMIRA YA CHAMA CHANGU KUITOA TANZANIA MAHALI ILIPOKWAMA. PENGINE NASHAWISHIKA KUMPA KURA YANGU LOWASA WA MABADILIKO!
watanzania umefika wakati wa kuheshimiwa na watawala; kuna kijiji kimoja niliona wananchi wamebomolewa nyumba zao chini ya dola na watu hao waliishi kwenye mahema kwa takriban miaka3. Sasa hii sio heshima kama tungekuwa tunaheshimiwa mambo haya yangefanyiwa utafiti kabla ya kuhamisha watu kwa nguvu
tuombe kila siku watoa haki wafanye haki ktk mchakato huu ili nchi iwe na amani ya kikatiba na sio amani ya uoga/utulivu.
Huwezi kutafisiri amani kabla hujatafisiri haki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nb: Ni ktk kufundishana na kuelimishana tuache mabaya tuchukue mazuri. Sitasita kushauri chama chochote kitakacho kosea na nikaona kwa macho yangu wala sio propaganda
wenu prof. Muhindo
*******mungu ibariki tanzania ,mungu ibariki africa,mungu ibariki dunia********tusifanye utani na amani****vyombo vitende haki kuboresha amani yetu****naipenda tanzania******mama tanzania kwanza!