Picha: Mama Lowassa leo akiwa Rudughai Tambalale

Picha: Mama Lowassa leo akiwa Rudughai Tambalale

Usipende kupita kiasi ndugu yangu.Nadhani Lowasa akishindwa itabidi utafutiwe psychiatrist akusaidie.Should I say you have Lowassamania?Be careful.
Nitafurahi sana huyu mama akiwa first lady wetu wa awamu ya 5. ana mvuto wa kipekee na sura yake inaonesha ni mtu mwenye upendo na roho nzuri. we pray for you mama. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA.
 
hayo mwambie kwanza alieomba kura kanisani,anaetanguliza milion 23 kukusanyia mafuriko anaejinyea bila aibu na mroho wa madaraka mla rushwa mkubwa ndo uje utuambie cc,ccm hatuna sampuli za viroba aina yako

Na ushindwe na kulegea
 
✌✌✌✌✌✌✌


Mama yetuuuuuu huyooooooooo....!!!


We admire you, mama.....

Hakuna kama mamaaaaaa eeeeeeehhh..!!

Our next First Lady...!!

Hakika, huyu mama ni MWENYE REHEMA, HEKIMA, MKONO WA MUNGU... kama Mumewe...!!!! ndio maana wanafanikiwa sana sanaaaa kimaisha...!!!

Mungu akulinde milele yote mama Regina....!!!!

✌✌✌✌✌
Lowassa-Watoto2.jpg
Lowassa-Watoto2.jpg

CHANGUDOA = Mwanamke Asiyeona Aibu Kufanya Mambo Yasiyo na Heshima Ili Mradi Tu Apate Pesa
 
Back
Top Bottom