Picha: Mama Lowassa leo akiwa Rudughai Tambalale

Picha: Mama Lowassa leo akiwa Rudughai Tambalale

Nakupenda,nakuadmire sana mama Regina Lowassa,wewe ni mfano wa kuigwa kwa wanawake.
Natamani kuwa kama wewe siku moja.
 
Watu wanaofanya kazi za ukweli ni hawa

​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.
​

​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
​
Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
​
Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
​
Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 
shikamooo mama lowassa mungu akubariki sana we nikati ya wa mama bora barani africa
 
Hivi kuna watu yaani ni bora wasichangie humu ndani sikiliza hoja za lowassa zinazotekelezeka acha ujinga
 

Attachments

  • 1443272473655.jpg
    1443272473655.jpg
    60.2 KB · Views: 326
Nitafurahi sana huyu mama akiwa first lady wetu wa awamu ya 5. ana mvuto wa kipekee na sura yake inaonesha ni mtu mwenye upendo na roho nzuri. we pray for you mama. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA.
 
Back
Top Bottom