PICHA: MAKONDA KAMRITHI MWIGULU ?

PICHA: MAKONDA KAMRITHI MWIGULU ?

Ninavyofahamu, Mawaziri wamepewa kuwa Walezi wa Mikoa

Kwahiyo wanapofanya ziara za kutembelea mikoa yao, huwa wanapokea changamoto na hutoa maelekezo kwa Wataalamu ngazi ya Mkoa.

Ndicho alichofanya ndugu PC. Makonda huko Mwanza

Hilo la kumrithi Waziri Mkuu, huenda ni kete wanazosukuma wenye Nchi

Maana kwa habari za chini chini, wanasema PM aliyepo hatakiwi kuwa hapo kufikia 2029 🙌
 
Ukiona Waziri asiyehusika na hayo mambo kaanza kutekeleza yasiyomuhusu, jua kuna jambo linasukwa nyuma ya pazia. Hata akitolewa Mwigulu akaingia yeye, wote yeye na Mwigulu ni washenzi tu. Na kubwa zaidi wote ni wa serekali haramu. Wapuuzi wakubwa hao.
 
Back
Top Bottom