PICHA: MAKONDA KAMRITHI MWIGULU ?

PICHA: MAKONDA KAMRITHI MWIGULU ?

Hata Makamu wakati anaondolewa hakukuwa na sababu ya Wazi iliyotolewa kwa Wananchi.

Sisi baada ya kuwapigia kura, kazi yetu iliishia pale

Sasa wao ndiyo wanajukumu la kutupeleka Kusini ama Magharibi 😎
Kura zenyewe mliwapigia?
 
Hata Makamu wakati anaondolewa hakukuwa na sababu ya Wazi iliyotolewa kwa Wananchi.

Sisi baada ya kuwapigia kura, kazi yetu iliishia pale

Sasa wao ndiyo wanajukumu la kutupeleka Kusini ama Magharibi 😎
Ulipiga kura mkuu. Mimi nisiwe muongo sikuweza kupata nafasi ya kupiga kura na hata kujisajili sikujusajili
 
Ninavyofahamu, Mawaziri wamepewa kuwa Walezi wa Mikoa

Kwahiyo wanapofanya ziara za kutembelea mikoa yao, huwa wanapokea changamoto na hutoa maelekezo kwa Wataalamu ngazi ya Mkoa.

Ndicho alichofanya ndugu PC. Makonda huko Mwanza

Hilo la kumrithi Waziri Mkuu, huenda ni kete wanazosukuma wenye Nchi

Maana kwa habari za chini chini, wanasema PM aliyepo hatakiwi kuwa hapo kufikia 2029 🙌
At least you spoke the truth
Watu wengi humu sana hawafuatilii vitu wanacomment kwa hearsays na hallucinations
 
Hivi hata kuongea sentence mbili za kiingereza anaweza kweli huyu mbuzi?
 
Huenda akawa msaidizi wa PM kama Kassimu alivyowekewa Dotto kuwa msaidizi wake!
 
Halafu masikini analia njaa
akipewa pande anajifanya yesu,
Mjifunze kupitia bashite
 
Jamaa alishasema kuwa akiwa na Jambo lake hakubali mtu amrudishe nyuma.Jamaa anaitaka nafasi kubwa kubwa.Ukitaka kujua jamaa mwulize Chongolo alivyopata connection ya kutengenezwa ili imharibie tu
 
Back
Top Bottom