Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,536
- 12,222
Litoto lichawi hili mkuu lione vileHakomagi huyu.
Litoto lichawi hili mkuu lione vileHakomagi huyu.
Kuna uwezekano ilishapangwa, labda kuna dharura kwa muapishaji.
Watajuta kumrudisha kwenye mfumo.ANa kiherehere kuliko maelezo
Utajua akiwa ametulia kwenye eneo lakeSasa unajuaje kama hajapewa kibali?
Ugumu upo wapiTuwe serious jamani, of all people makonda awe pm???!?????!!!!
Basi hujui kituUtajua akiwa ametulia kwenye eneo lake
Wasije wakafanya hilo kosa, binti wa watu atafunikwa vibaya mnoAkiwa waziri Mkuu ndio atatoa maagizo ya rais kabisa!
Humu wamejaa watu wa Kila ainaAt least you spoke the truth
Watu wengi humu sana hawafuatilii vitu wanacomment kwa hearsays na hallucinations
Hahaha..........usikute ulipigiwa hata kama hukwepo kwenye orodhaUlipiga kura mkuu. Mimi nisiwe muongo sikuweza kupata nafasi ya kupiga kura na hata kujisajili sikujusajili
Acha kutupanga mkuu, wanatoa maelekezo kwa wizara zinazowahusu tu, kwahiyo mfano mama Gwajima akatoe maelekezo kuhusu mambo ya wizara ya fedha?Ninavyofahamu, Mawaziri wamepewa kuwa Walezi wa Mikoa
Kwahiyo wanapofanya ziara za kutembelea mikoa yao, huwa wanapokea changamoto na hutoa maelekezo kwa Wataalamu ngazi ya Mkoa.
Ndicho alichofanya ndugu PC. Makonda huko Mwanza
Hilo la kumrithi Waziri Mkuu, huenda ni kete wanazosukuma wenye Nchi
Maana kwa habari za chini chini, wanasema PM aliyepo hatakiwi kuwa hapo kufikia 2029 🙌
Nilichokisema ndiyo ukweli wenyewe MkuuAcha kutupanga mkuu, wanatoa maelekezo kwa wizara zinazowahusu tu, kwahiyo mfano mama Gwajima akatoe maelekezo kuhusu mambo ya wizara ya fedha?
Na dole langu lipo kabisa kwenye list ya waliopigwa au sio?Hahaha..........usikute ulipigiwa hata kama hukwepo kwenye orodha
Hauko sahihi mkuu hata kwa logic ya kawaida tu haimake senseNilichokisema ndiyo ukweli wenyewe Mkuu
Mawaziri wamefanywa Walezi wa Mikoa, kwahiyo wanapotembelea miradi ya maendeleo huwa wanatoa maagizo kabisa kwaajili ya kupush utekelezaji wake
Nina uhakika na hilo Mkuu
Huyo ni head snitchSi ajabu ... Ukilinganisha naye ni toto pendwa .. anyway in case hata madelu akitolewa huyu jamaa kwa kuwasnitch wenzie nampa percentage za kutosha..ova