Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

Spadino

Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
8
Reaction score
97
Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.

Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.

Taarifa hizo zinadai kuwa Mwigulu aliitwa Chamwino kwenye kikao kizito kilichohusisha tajiri, mtoto na watu wengine wenye ushawishi. Inadaiwa aliingia saa mbili na kutoka saa saba.

Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.

Katika kikao hicho, anadaiwa kusema: “Msihangaike na video. Mleteni na mwanamke mliyetumia picha yake. Hakuna mtu wa kujiuzulu. Mimi si Chongolo. Najijua: sinywi pombe, sivuti bangi wala kutumia dawa za kulevya. Sina michezo hiyo, na sijawahi kwenda kwenye lodge hata kwa vikao.”

Taarifa hizo zinadai pia kuwa kikao kilivurugika bila mazungumzo kuendelea. Aidha, kuna madai ya kuitishwa kwa vikao vya dharura vya CCM, vya Maadili na Kamati Kuu.

Tusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
 
Samuya na kundi lake kila siku wanatengeneza maadui wapya
 
Crap!
 
ok. :1Head:
 
Konyagi haiwezi kumuacha mtu salama hata siku 1
 
Back
Top Bottom