Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,312
- 65,172
Hayo tuyaache Mkuu, muhimu uliwakilishwa na idadi yako ndiyo ilifanya zile kura 32Milioni 🤪Na dole langu lipo kabisa kwenye list ya waliopigwa au sio?
Hayo tuyaache Mkuu, muhimu uliwakilishwa na idadi yako ndiyo ilifanya zile kura 32Milioni 🤪Na dole langu lipo kabisa kwenye list ya waliopigwa au sio?
😂😂😂😂😂 Muda utafika tutajua Kama ni kweli.Hayo tuyaache Mkuu, muhimu uliwakilishwa na idadi yako ndiyo ilifanya zile kura 32Milioni 🤪
Kumbuka tume ya pili ipo site kusafisha mambo😂😂😂😂😂 Muda utafika tutajua Kama ni kweli.
Hata uwe makini gani huwezi kusafisha Kila kitu asilimia 100 kwahiyo watu wenye akili vizuri wakikaa chini watajua tu wapi penye kasoroKumbuka tume ya pili ipo site kusafisha mambo