Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

Huyu mwenye ndege atakuwa mshabiki wa yanga
 
We grew up fearing this guy. Akikatisha kitaa dingi anataka kulala na ford escort yake chumbani. Kila refu lina ncha.
King'asti hujambo? Mliishi Moshi sehemu gani? Na kwa nini aliogopewa? Nilisoma darasa moja na huyu Babu sambeke wkati huo akiitwa ERNEST MALLYA pale Kibo Secondary miaka ya 1978-1982 huenda ulikuwa hujazaliwa.

Tulijifunza wote kutengeneza magari tukisubiri majibu gereji ya John Jeep sijui kama bado yupo. nadhani walikuwa wanakaa karibu na maili 6 opposite Gereza la karanga. Alikuwa kijana wa goodtime sana na enzi hizo alikuwa na baiskeli kali sana. Baba yake alikuwa na Peugeot 504, wakati huo hizo ndo gari kali pamoja na Benzi.

RIP ERNEST MALLYA!
 
Last edited by a moderator:
rip bob sambeke though ndo kwanza kwa mara ya kwanza nimekusikia jana baada ya ajali
 
Pole kwa wafiwa na Mungu alaze roho ya marehemu mahala pema .Nimepata hapa uwanja na nimeiona kwa kweli kwa ilivyoharibika asingepona mtu
 
Ernest mallya= bob sambeke....hivi umri ukisogea na jina linabadilika ...
 
  • Thanks
Reactions: KUN
RIP! Risk uliyoichukua ya kutua baada ya masaa imekurejesha kwa Mola!
 
Hebu tuambieni mnao mjua huyo Bob,alikuwa nani na alikuwa anafanya nini maake tunaona tu kumpamba,kumzodoa tupeni wasihi wake sio kila mtu anakaa au mtu wa Arusha bana
 
Ernest mallya= bob sambeke....hivi umri ukisogea na jina linabadilika ...

Wachaga hupenda sana kuwa na majina mawili mawili ,moja halali na la kanisani na lingine wanajua wana fani wenzake yaani ni jina la kazi/shughuli ni kama ma mafioso ambao nao wanakuwa na majina ya kanisani na yale ya kazi,kama Don Corleon
 
Ni kwamba uwepo wake Korogwe ndiyo asipate picha?
Member wengine mawazo vinyu kweli kweli!

Mzee wa Rula tunashukuru kwa picha.

Mkuu asante kwa picha nilkuwa najiuliza namna ya kwenda kuchukua picha mnaana nilijua uko korogwe...
 
Last edited by a moderator:
what is happening kwa matajiri wa arusha town. Ninaona kama miezi hii miwili wamekufa wengi kiaina. Mara yule aliyefia Mahenge...mara wakili mara rubani wake....kitu gani kinatokea ambacho wengine hatukijui?

Na mwingine aitwae Kaburu , nae alikuwa mtundu wa Namanga. Aliwaliza sio mchezo. Umekosea , Bob Sambeke hakuwa tu rubani bali tajiri. Aliupata kwa ufundi tuuu. Wizi wa magari na urushi. Bila shaka wengi wao walikuwa watu hatari.
 
Siku zote nilidhani ndege hii ni ya Bob Sambeke, yote kwa yote jamaa alikuwa rafiki wa kila mtu pale vibandani nje ya airport ingawa sijui undani wake sana. rip bob
 
Uwanja wa ndege wa ndege wa Arusha unafungwa saa kumi na mbili na nusu kwa sababu hauna taa. Na jamaa inasadikiwa alikuwa anatua nje ya muda yaani baada ya uwanja kufungwa.
Urubani unahitaji proffessional judgement ambayo iko based on scientific pyhsical data.
Sasa kwa hako kandege kwa vyovyote uendeshaji wake uko based on visual accommodation of pysical data ukilinganisha na ndege ambazo ni fly-by-wire, ambazo ni Computerised Insrument based.

Sasaanaamua kutua kwenye kiwanja BAADA hata ya wasaidizi wa hali ya hewa na Air Traffic Contollers, ambao baada ya saa 12 walikuwa wameondoka , na kiwanja ni giza!

Inahitaji aidha uwe genius au usiyeeleweka kuenda against misingi hiyo ya kuruka.
Hata hivyo watu wenye pesa nyingi wanajikuta katika matatizo ya kujikweza uwezo wao kibinadamu wakati bado ni watu wenye uwezo wa kawaida.

RIP Bw. Sembeke, lakini ungefuata taratibu za urukaji kama zilivyo ainishwa kwenye flight manuals , bado unekuwa hai leo ukimsifu Mungu!
 
Bwana alitoa, Bwana ametwaa..Jina Bwana Libarikiwe.
Rest in Peace Bob
 
Goodbye Maule......sikujua kama utaishia hivi.....you were scary tho.......

Preta mama unajua watu wa A town lol!I know the guy as ni nilisoma Moshi Tech,nyuma ya Moshi tech karibu na kibo Match/gereza la Karanga ndio kwao na Bob!mzee Sambeke pia alishafariki nafikiri!
 
Last edited by a moderator:
Urubani unahitaji proffessional judgement ambayo iko based on scientific pyhsical data.
Sasa kwa hako kandege kwa vyovyote uendeshaji wake uko based on visual accommodation of pysical data ukilinganisha na ndege ambazo ni fly-by-wire, ambazo ni Computerised Insrument based.

Sasaanaamua kutua kwenye kiwanja BAADA hata ya wasaidizi wa hali ya hewa na Air Traffic Contollers, ambao baada ya saa 12 walikuwa wameondoka , na kiwanja ni giza!

Inahitaji aidha uwe genius au usiyeeleweka kuenda against misingi hiyo ya kuruka.
Hata hivyo watu wenye pesa nyingi wanajikuta katika matatizo ya kujikweza uwezo wao kibinadamu wakati bado ni watu wenye uwezo wa kawaida.

RIP Bw. Sembeke, lakini ungefuata taratibu za urukaji kama zilivyo ainishwa kwenye flight manuals , bado unekuwa hai leo ukimsifu Mungu!

inaniwia vigumu sana kujua kwanini mtu ajaribu kuruka "VFR" usiku?
Hatakama ndege ina istrument requiremts by night bado unahitaji runway lights.

dahhh hata uwe genius..
hii ni ngumu sana kutimiza .
maybe he was attempting to make a Force landing in the paddock. Who knows?

Apumzike kwa amani.
 
dah! King'asti huko kwa Mungu kuna kazi best.but alitesa kwa nafasi yake.
 
Last edited by a moderator:
Urubani unahitaji proffessional judgement ambayo iko based on scientific pyhsical data.
Sasa kwa hako kandege kwa vyovyote uendeshaji wake uko based on visual accommodation of pysical data ukilinganisha na ndege ambazo ni fly-by-wire, ambazo ni Computerised Insrument based.

Sasaanaamua kutua kwenye kiwanja BAADA hata ya wasaidizi wa hali ya hewa na Air Traffic Contollers, ambao baada ya saa 12 walikuwa wameondoka , na kiwanja ni giza!

Inahitaji aidha uwe genius au usiyeeleweka kuenda against misingi hiyo ya kuruka.
Hata hivyo watu wenye pesa nyingi wanajikuta katika matatizo ya kujikweza uwezo wao kibinadamu wakati bado ni watu wenye uwezo wa kawaida.

RIP Bw. Sembeke, lakini ungefuata taratibu za urukaji kama zilivyo ainishwa kwenye flight manuals , bado unekuwa hai leo ukimsifu Mungu!

Ni kweli Mkuu.
 
Back
Top Bottom