Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

Mara ya mwisho kumuona mwanzoni mwa miaka ya 90 nikisoma moshi mjini alikuwa na honda...i mean boonge la honda na aliiwekea exhaust 2 so ilikuwa akivinjari maeneo ya shanty town na soweto mtaa unakuwa bariiidi kidume kinapita.... sasa hivi vya urubani sijui vimeanza lini tena peke yake kwenye ndege!

Urubani ni kitu kirahisa sana kama kweli unataka kuwa rubani.
"I mean you are really passion abou it"..

umri kuanzia miaka 18 , sasa yeyote, mtu yeyote anaweza kurusha ndege.
kitu cha kwanza u pass "medical" mengine ni wewe na kitabu na ndege .. Passing zako za awali ndizo zitakazo kuingiza . .
sio ngumu.

Kwa hiyo sintoshangaa kusikia hapa JF kuna marubaini kibao..

na pia kuna tofauti za urubani.
kuna wale wanaosomea ajili wanataka kufanya kazi kwenye "airline, airforce"
kuna wengine wanapenda kufanya general flying mfano " bush flying"
kuna wengine wanafanya for fun na ajili ya mashindano mfano "aerobatics pilots"
Kuna wengine wanasomea urubani ili wafundishe marubani "Instuctors " na hao nao wamegawanyika kwenye makundi mengine....

halafu kuwa rubani kuna aina mbili za licence ..
PPL (Private Pilot Licence)

Ukiwa na hii unaruka kokote ndani ya nchi hiyo , unaweza kupata type ratings
za ndege nyingine ndogo, unaweza kurusha ndugu jamaa na marafiki lakini
hulipwi sababu ni kinyume cha sheria. Na pia ni ngumu kupata ajira .
wengi ambao hupata hii licence huwa na ndege zao binafsi....

halafu kuna hii sasa
CPL ( commercial pilot licence)
Hii ni kwa ndugu zangu wale ambao wanategea kuajiriwa na shirika fulani la ndege
kufanya kazi . Pia kupata hii licence sio ticket ya kuingia airline .. kuingia air line
unatakiwa kuwa na "multi engine instrument rating" hapo ndio utapata kazi airline ..
NA ukifika airline ukitaka kupanda ngazi kuwa captain unatakiwa kufanya mitiha ya ATPL "airline transport pilot licence"
na ukitaka kupanda ngazi zaidi na kuwa train watu kuwa ma captain unatakiwa kusoma kozi zaidi kama vile "instructing"

Kwa ufupi sijui alikuwa na licence gani.
Na kupata licence ya urubani si kazi ngumu.
Akili yako na fedha na kujituma kupita kiasi ..

Sipendagi tabia ya watu kuona kitu ni kigumu na wakati mtu hajajaribu..
NA wapa moyo kwa kila anaetaka kuwa rubani.
sio ngumu sana bali ni "Risky business "
You only live once......
 
Ernest mallya= bob sambeke....hivi umri ukisogea na jina linabadilika ...

Ha ha ha mkuu. Si hivyo, ile shughuli yake ya magari ndiyo ilimpa hili jina kubwa!!! Ilikuwa ukimwona maeneo jua kuna mtu atalia!!! Kama una kagari kazuri inabidi usiku huo huo utafute mahali pa kulihamishia!!! Ma RPC wote pale walinyanyua mikono maana alikuwa untouchable!!! Ila baadaye dili za magari zikawa hazilipi, akaingia madini na ile mikataba ya kifisadi, gushiiiiiiiiiiiiiiiiiini kwa eingi!! Na hapo ikabidi mjanja mwenzake Nyaga (R.I.P) awe mshirika!!! Kunguru wanaofanana huruka pamoja!!!
 
Urabani kitu kirahisa sana kama kweli unataka kuwa rubani.
"I mean you are really passion abou it"..

umri wowote , sasa yeyote, mtu yeyote anaweza kurusha ndege.
kitu cha kwanza u pass "medical" mengine ni wewe na kitabu
na ndege.
sio ngumu.

Kwa hiyo sintoshangaa kusikia hapa JF kuna marubaini kibao..

na pia kuna tofauti za urubani.
kuna wale wanaosomea ajili wanataka kufanya kazi kwenye "airline, airforce"
kuna wengine wanapenda kufanya general flying mfano " bush flying"
kuna wengine wanafanya for fun na ajili ya mashindano mfano "aerobatics pilots"
Kuna wengine wanasomea urubani ili wafundishe marubani "Instuctors " na hao nao wamegawanyika kwenye makundi mengine....

halafu kuwa rubani kuna aina mbili za licence ..
PPL (Private Pilot Licence)

Ukiwa na hii unaruka kokote ndani ya nchi hiyo , unaweza kupata type ratings
za ndege nyingine ndogo, unaweza kurusha ndugu jamaa na marafiki lakini
hulipwi sababu ni kinyume cha sheria. Na pia ni ngumu kupata ajira .
wengi ambao hupata hii licence huwa na ndege zao binafsi....

halafu kuna hii sasa
CPL ( commercial pilot licence)
Hii ni kwa ndugu zangu wale ambao wanategea kuajiriwa na shirika fulani la ndege
kufanya kazi . Pia kupata hii licence sio ticket ya kuingia airline .. kuingia air line
unatakiwa kuwa na "multi engine instrument rating" hapo ndio utapata kazi airline ..
NA ukifika airline ukitaka kupanda ngazi kuwa captain unatakiwa kufanya mitiha ya ATPL "airline transport pilot licence"
na ukitaka kupanda ngazi zaidi na kuwa train watu kuwa ma captain unatakiwa kusoma kozi zaidi kama vile "instructing"

Kwa ufupi sijui alikuwa na licence gani.
Na kupata licence ya urubani si kazi ngumu.
Akili yako na fedha na kujituma kupita kiasi ..

Sipendagi tabia ya watu kuona kitu ni kigumu na wakati mtu hajajaribu..
NA wapa moyo kwa kila anaetaka kuwa rubani.
sio ngumu sana bali ni "Risky business "
You only live once......

Aksante kwa darasa Mamito at least nimeambulia A, B, C.....Naamini hata wewe ungejiuliza kumuacha mtu akisumbua mtaani na pikipiki then unasikia anarusha ndege tena peke yake. Kwa wasifu wake alokuwa nao sikudhani hata kama std viii alifika so i had many questions than answers!

Kikubwa ni kuzingatia safety measures (do and don'ts) kitu ambacho ni mtihani mgumu sana wa wabongo....
Pengine angetua salama ingekuwa ajenda kwenye vikao vyetu vileeee.....Ahh...mimi kiboko bana hata kuwe na giza natua tu..kuwe na waongozaji wasiwepo mie kiboko bwana!
 
Ukiwa una karibia kufanya "Flight test "
kuna vitu unatakiwa uwe navyo
1. Medical.
2. Criminal Recodes (From Ministry of justice)
3. Driving Records (From land of transport)
4. all your written exams. (KDR=Knowledge Deficiency Report ).

ukiwa na hivyo mkononi pamoja na Log book ..
Ndio unaruhusiwa kufanya flight test.

sasa sijui wengine wanapitaje pitaje niliyoyataja hapo awali..

We fikiri wengi huwa Pilot ajili ya kusafirisha wengine ..
Wapo wachache wanao fanya kwa fun.

Sintopenda kusikia pilot anaenirusha alikuwa muuaji , ama jambazi , sijui mvuta bangi.
ndio maana kuna procedure mtu anafuata kabla hata hakufanya flight test.

kuna usemi na urudia sana na unatumika sana
"Don't be a show-off. Never be too proud to turn back. There are old pilots and bold pilots, but no old, bold pilots"
 
Duh; alikuwa anamiliki club gani na inaitwaje? Na hao watu uliokuwa unakutana nao ukiingia walikuwa ni "balaa" kwa nini?

Kuna ambaye anafahamu kwa hakika biashara alizokuwa akifanya ni zipi ukiacha ndege alizokuwanazo?

Biashara zake ni maduka ya nguo, wizi wa magari ya watu kipindi hicho wakiwa na marehemu Madeche na Peter akishirikiana na Kamanda Chipo kipindi kile akiwa RPC wa wana Kilimanjaro, Pia alikuwa chambo cha Alet massewe Jambasi ya mujini Dar kuiba magari ya watu kutoa Kenya kupeleke kusini na kutoa kusini kulete kwetu. Ile kamande Chipo ilikutwa na gare ya wasungu nyumbani kwake baade ya wasungu kuweke tracking GPS na jamae kuagisa Sembeti alete ile. Kazi kweli kweli.
Pia alikuwa na biashara ya umalaya kuchesea na kuambukisa watoto wetu wa Chuo cha Ushirika na KCMC.
Ndege alipewa shukrani na aliye kuwa mkuu wa jeshi aliye mbaka mfanyakazi wake wa ndani na kumpa mimba.
Zaidi ya hapo hakuna Biashara ya kumwita mfanyabiashara wa Moshi.
Sasa kwa vioja hivyo vyote utamlazimisha mungu amuweke mahala pema pepopni kweli. Acheni utani wenu bana...!! Watu wamekaa wanakula mtura Mkulima kwa kusherehekea angalau hwatakuwa na mashaka na magari yao..!! Ila kuna vile vizee viwili vimebaki..!!! TUNAENDELEA KUMWACHIA MUNGU!!!
 
Huyu jamaa amegusa sana watu wengi lakini binafsi sikuwahi kuuona umuhimu wake zaidi ya kukopesha fedha kwa masharti magumu na kuleta vilio baadar. Siwezi kumtofautisha na Papaa Msofe, I stand to be corrected.

Ungekuwa mpenzi wa kwenda Graciers kwa Casbert pale Shanti ungemkuta tu na pensi yake.. Hopeless kabisa..!!
 
Ha ha ha mkuu. Si hivyo, ile shughuli yake ya magari ndiyo ilimpa hili jina kubwa!!! Ilikuwa ukimwona maeneo jua kuna mtu atalia!!! Kama una kagari kazuri inabidi usiku huo huo utafute mahali pa kulihamishia!!! Ma RPC wote pale walinyanyua mikono maana alikuwa untouchable!!! Ila baadaye dili za magari zikawa hazilipi, akaingia madini na ile mikataba ya kifisadi, gushiiiiiiiiiiiiiiiiiini kwa eingi!! Na hapo ikabidi mjanja mwenzake Nyaga (R.I.P) awe mshirika!!! Kunguru wanaofanana huruka pamoja!!!

Sema Ma RPC walikuwa hawamshiki kwasababu walikuwa wakiishiwa wanamwagiza yeye !!!!
 
Biashara zake ni maduka ya nguo, wizi wa magari ya watu kipindi hicho wakiwa na marehemu Madeche na Peter akishirikiana na Kamanda Chipo kipindi kile akiwa RPC wa wana Kilimanjaro, Pia alikuwa chambo cha Alet massewe Jambasi ya mujini Dar kuiba magari ya watu kutoa Kenya kupeleke kusini na kutoa kusini kulete kwetu. Ile kamande Chipo ilikutwa na gare ya wasungu nyumbani kwake baade ya wasungu kuweke tracking GPS na jamae kuagisa Sembeti alete ile. Kazi kweli kweli.
Pia alikuwa na biashara ya umalaya kuchesea na kuambukisa watoto wetu wa Chuo cha Ushirika na KCMC.
Ndege alipewa shukrani na aliye kuwa mkuu wa jeshi aliye mbaka mfanyakazi wake wa ndani na kumpa mimba.
Zaidi ya hapo hakuna Biashara ya kumwita mfanyabiashara wa Moshi.
Sasa kwa vioja hivyo vyote utamlazimisha mungu amuweke mahala pema pepopni kweli. Acheni utani wenu bana...!! Watu wamekaa wanakula mtura Mkulima kwa kusherehekea angalau hwatakuwa na mashaka na magari yao..!! Ila kuna vile vizee viwili vimebaki..!!! TUNAENDELEA KUMWACHIA MUNGU!!!

Mku Jigsaw, umenena ukweli haswa. Halafu eti vyombo vya habari vinasema mfanyabiashara mkubwa Arusha na Moshi. Ni kwa nini wasiseme jambazi kubwa Tanzania na nchi za Africa kwa ujumla wake hasa East and Southern? Halasu serikali hii inafahamu watu hawa na madhambi yao lakini inawatumia kuchangia chama!! Hapo ndipo sijaelewa vizuri. Ngoja tusubiri tuone ni nani ataongoza mazishi yake!! Ha ha ha!! Au ukishakufa unazirwa maana pochi halitoki tena?
 
Eti mabilionea na ndege zao kuukuu...kaaazi kwelikweli...
 
Biashara zake ni maduka ya nguo, wizi wa magari ya watu kipindi hicho wakiwa na marehemu Madeche na Peter akishirikiana na Kamanda Chipo kipindi kile akiwa RPC wa wana Kilimanjaro, Pia alikuwa chambo cha Alet massewe Jambasi ya mujini Dar kuiba magari ya watu kutoa Kenya kupeleke kusini na kutoa kusini kulete kwetu. Ile kamande Chipo ilikutwa na gare ya wasungu nyumbani kwake baade ya wasungu kuweke tracking GPS na jamae kuagisa Sembeti alete ile. Kazi kweli kweli.
Pia alikuwa na biashara ya umalaya kuchesea na kuambukisa watoto wetu wa Chuo cha Ushirika na KCMC.
Ndege alipewa shukrani na aliye kuwa mkuu wa jeshi aliye mbaka mfanyakazi wake wa ndani na kumpa mimba.
Zaidi ya hapo hakuna Biashara ya kumwita mfanyabiashara wa Moshi.
Sasa kwa vioja hivyo vyote utamlazimisha mungu amuweke mahala pema pepopni kweli. Acheni utani wenu bana...!! Watu wamekaa wanakula mtura Mkulima kwa kusherehekea angalau hwatakuwa na mashaka na magari yao..!! Ila kuna vile vizee viwili vimebaki..!!! TUNAENDELEA KUMWACHIA MUNGU!!
!

Mkuu Jigsaw nashukuru sana kwa kunijiza. Nimepata picha kamaili sasa.

Vizee gani viwili vimebaki tena? Funguka mkuu, au mpaka wawe wame-RIP?
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa amegusa sana watu wengi lakini binafsi sikuwahi kuuona umuhimu wake zaidi ya kukopesha fedha kwa masharti magumu na kuleta vilio baadar. Siwezi kumtofautisha na Papaa Msofe, I stand to be corrected.

yAA JAMAA ALIKABA SANA WATU mOSHI, ULIKUWA UKIPITA NA GARI YAKO MPYA UKIMUONA MITAA FLANI YUPO UNENDA PAKI POLISI KABSAAAAAAAA
 
kuna jambazi mwingine anafanya mambo yake kwa usiri sana na amejificha kwenye kivuli cha uchungaji anaitwa robinson mchau yuko moshi anafundisha chuo cha smmuco moshi. kwa sasa kuna watu wamepata data zake
 
Back
Top Bottom