Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

King'asti hujambo? Mliishi Moshi sehemu gani? Na kwa nini aliogopewa? Nilisoma darasa moja na huyu Babu sambeke wkati huo akiitwa ERNEST MALLYA pale Kibo Secondary miaka ya 1978-1982 huenda ulikuwa hujazaliwa.

Tulijifunza wote kutengeneza magari tukisubiri majibu gereji ya John Jeep sijui kama bado yupo. nadhani walikuwa wanakaa karibu na maili 6 opposite Gereza la karanga. Alikuwa kijana wa goodtime sana na enzi hizo alikuwa na baiskeli kali sana. Baba yake alikuwa na Peugeot 504, wakati huo hizo ndo gari kali pamoja na Benzi.

RIP ERNEST MALLYA!

No wonder una mentality ya kibabubabu, mbishi
 
Last edited by a moderator:
Mfamaji. Asante kwa sahihisho. Infwakiti sijawahi kumsikia zaidi ya kusoma humu jamvini kuhusu ajali yake. Hata hivyo jan jioni nilitazama taarifa ya habari. Wanasema aliwambia kuna tatizo, na mtu wa kuongoza ndege akawambia kuwa ndege ilitotegemewa kutua dakika tatu haijatua na wamepoteza mawasiliano.! Vifo hivi vimefuatana sana, inatia huruma. Poleni wafiwa.
Na mwingine aitwae Kaburu , nae alikuwa mtundu wa Namanga. Aliwaliza sio mchezo. Umekosea , Bob Sambeke hakuwa tu rubani bali tajiri. Aliupata kwa ufundi tuuu. Wizi wa magari na urushi. Bila shaka wengi wao walikuwa watu hatari.
 
Preta mama unajua watu wa A town lol!I know the guy as ni nilisoma Moshi Tech,nyuma ya Moshi tech karibu na kibo Match/gereza la Karanga ndio kwao na Bob!mzee Sambeke pia alishafariki nafikiri!
Kamanda Moshi - Kumbe na wewe ulikuwa unapitia Dorm-40 na kutokea Shiri Matunda?

Anywayz - Sambeke na uzao wake wote walikuwa MAJAMBAZI..!
 
Last edited by a moderator:
Kamanda Moshi - Kumbe na wewe ulikuwa unapitia Dorm-40 na kutokea Shiri Matunda?

Anywayz - Sambeke na uzao wake wote walikuwa MAJAMBAZI..!

USISEME NA UZAO WAKE WOTE.
mdogo wake alikuwa padre marekani baba yake alikuwa na duka pale opposite na soko kuu na mama yake nasikia ana duka pale memorial la kuuza maua karibu na changbay.
 
USISEME NA UZAO WAKE WOTE.
mdogo wake alikuwa padre marekani baba yake alikuwa na duka pale opposite na soko kuu na mama yake nasikia ana duka pale memorial la kuuza maua karibu na changbay.

Upadre..............!A
Umiliki wa duka...!B
Umiliki wa duka...!C

A, B, & C huwezi kuwa JAMBAZI?
 
sikuisoma kwa kweli
umetowa lakini hapo sijakufahamu
hapa Tanzania tunapenda short cut kwa vitu vingi mojawapo ni ajali kama hii rubani unajuwa kuwa uwanja unafungwa saa kuminambili wewe unaenda kujaribu kutuwa baada ya kiza kimeingia nafikiri alikuwa anajaribu kutuwa kwa uzoefu tu sio kiutaratibu
mimi kwa upande wangu litakuwa tatizo la rubani sio ndege.

samahani kwa kukukwaza kwa e mail iliyopita

hujanikwaza kabisa ..
Ni kujuzana tu .

kuna usemi kwenye aviation ambao unatumika sana na unasema ..
"Don't be a show-off. There are old pilots and bold pilots, but no old, bold pilots"
 
Maneno yako ni kweli
Umepitia nini haya mambo ya aviation?
hujanikwaza kabisa ..
Ni kujuzana tu .

kuna usemi kwenye aviation ambao unatumika sana na unasema ..
"Don't be a show-off. There are old pilots and bold pilots, but no old, bold pilots"
 
No wonder una mentality ya kibabubabu, mbishi
We mwana mbona unaleta skandali!!!!!
Kwani vibabu babu ndio wabishi?
Babuuuuuuu.jpg
 
We grew up fearing this guy. Akikatisha kitaa dingi anataka kulala na ford escort yake chumbani. Kila refu lina ncha.

For sure...nilimjuwa kama mzee wa issue.....sijui kama aliacha kwani tangu nilipoondoka moshi 1990s sijawahi kusikia tena habari zake....lkn enzi hizo akikatisha mtaani na honda bac mtaa unazizima na kila mmoja anaacha anachofanya kumtizama babu sambeke!Mungu amweke anapoona panamfaa!!
 
inaniwia vigumu sana kujua kwanini mtu ajaribu kuruka "VFR" usiku?
Hatakama ndege ina istrument requiremts by night bado unahitaji runway lights.

dahhh hata uwe genius..
hii ni ngumu sana kutimiza .
maybe he was attempting to make a Force landing in the paddock. Who knows?

Apumzike kwa amani.

Mara ya mwisho kumuona mwanzoni mwa miaka ya 90 nikisoma moshi mjini alikuwa na honda...i mean boonge la honda na aliiwekea exhaust 2 so ilikuwa akivinjari maeneo ya shanty town na soweto mtaa unakuwa bariiidi kidume kinapita.... sasa hivi vya urubani sijui vimeanza lini tena peke yake kwenye ndege!
 
Back
Top Bottom