Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,749
Siku zinakimbia
Dah watu wanajiamini sanakuna jambazi mwingine anafanya mambo yake kwa usiri sana na amejificha kwenye kivuli cha uchungaji anaitwa robinson mchau yuko moshi anafundisha chuo cha smmuco moshi. kwa sasa kuna watu wamepata data zake