gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
King'asti hujambo? Mliishi Moshi sehemu gani? Na kwa nini aliogopewa? Nilisoma darasa moja na huyu Babu sambeke wkati huo akiitwa ERNEST MALLYA pale Kibo Secondary miaka ya 1978-1982 huenda ulikuwa hujazaliwa.
Tulijifunza wote kutengeneza magari tukisubiri majibu gereji ya John Jeep sijui kama bado yupo. nadhani walikuwa wanakaa karibu na maili 6 opposite Gereza la karanga. Alikuwa kijana wa goodtime sana na enzi hizo alikuwa na baiskeli kali sana. Baba yake alikuwa na Peugeot 504, wakati huo hizo ndo gari kali pamoja na Benzi.
RIP ERNEST MALLYA!
huyu mtu alikuwa harari sana alimiliki club fulan pale moshi mjini ilikuwa kwanza ukiingia wote unakutana nao huko ndani ni balaa!
ila utasia watu wakisema ni mtu wa watu alipenda watu kumbe hana lolote