[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

Mbowe anamponda JK kuwa ameshikilia udini tu ndio maana hawakumsikiliza Bungeni
 
Mbowe kaongelea pia kutoka nje ya bunge kwa wabunge wa CDM pamoja suala la kuongoza upinzani Bungeni na suala la Katiba mpya
 
Hayo mawe yanayorushwa ni mazito..peoples power itawafanya watawala madhalimu kutafuta uchochoro wa kutokea
 
Wananchi wanamtaka Mbowe amwongelee Shibuda
 
Amesema watu wanasema afukuzwe lkn yeye amesema 'CHADEMA hatuwezi kufanya hivyo, atajengwa ikishindikana ndipo utaratibu mwingine utafuatwa'
 
Wakuu, sasa ndo wanahitimisha hapa, naweza ndo mwisho wa mkutano hapa na nikiri mpaka sasa hali ni shwari kabisa, maandamano yamekuwa ya amani tu
 
Namshukuru Mungu mmemaliza salama,ni jambo la msingi sana kuwaelimisha watu wakaelewa nini kinachosababisha na kuchangia umasikini wakati nchi yetu ni ni nchi ya ahadi yenye maziwa na asali lakini wachache ambao ni sawa na mbwa aliyefungiwa nyama shingoni apeleke nyumbani siku itawadia tutawatoa WAKOLONI WAZAWA WEUSI:A S 112:
 
..Chadema wasijaribu hata siku moja kumfukuza Shibuda.

..wanapaswa kujifunza makosa waliyoyafanya kwa Kafulila.
 
Mh. Regia.
Huku naona ni kutubania wengine ambao hatukuweza kuhudhuria hayo maandamano. CHADEMA as chama kweli hakina mtunza kumbukumbu? Mnatakiwa kuwa na mtunza kumbukumbu za chama aidha wa kuajiriwa au kujitolea especially kwenye matukio muhimu kama haya.

Maandamano haya ni muhimu sana katika historia ya vizazi vijavyo, matukio katika harakati za ukombozi v2.0 ni muhimu kwa Taifa. Tusitegemee waandhi wa habari peke yake.
Aluta Kontinua.
 
Shukrani Mugumu kwa kazi nzuri kama hiyo ya leo
many thanks
 
Mwalimu JKN alisema " ...DHAMBI YA UBAGUZI NI MBAYA SANA..." Kwanini JF tuanze kubaguana? shiiit!

Join Date : 13th February 2011
Posts : 35
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

Kuna ulazima gani kujibu kitu usichokijua!!!????????
 
Asante sana Mugumu kwa kazi nzuri, tumefurahi sana. Ila ikiwezekana hata kesho mtuwekee picha. Asante
 
mfike kule Kiumeni Tarime linapostawi jani( bange) a.k.a nyasi
 
Dada Regia kwanza pongezi kwa kutujulisha yanayojiri.

Ngome kuu ya CCM ipo kanda ya Ziwa na Nyanda za juu Kusini. Kanda zingine zinabaki kuwa 50/50 au zingine hazieleweki kabisa hasa ukanda wa Pwani. Nashauri plan of action CDM kuelekeza nguvu za ziada katika kuiteka kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini. Tukiweza kujiamarisha katika kanda hizi sioni CCM watatokea wapi. Manyara, Arusha na Moshi sina wasiwasi
 
Regia kazi nzuri hapa tunaomba picha sisi tulio nje ya mji. January na familia yake mnanaangalia television?
 
Back
Top Bottom