[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

Nijuavyo, Zitto ana semina ya Kamati ya Fedha za Mashirika ya Umma zinaendeshwa na Ofisi ya CAG. Mnyika yuko kwenye kamati ya Nishati na Madini

Laiti kama Tanzania ingekuwa na watu kama wewe tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo!
Watu wakilia "njaa",viongozi wanasema "wavivu" na sisi tuna walaumu

Wakisema "bei juu" viongozi wanasema "tafuteni hela" na utumbo kama huo!

Toa jibu sahihi kwa kila swali ambalo watu wanataka kujua!
Asante san mkuu
 
Miruko haya ndiyo majibu sahihi ila unafikiri hawajui basi tu wanataka kuleta co motion zao na mimi huwa nawajibu kulingana na mawazo yao.

Kwa hiyo unajua mawazo yangu??????

1corinthians 2:11a
For who among men knows the thoughts of a man except the man's spirit within him? In the same way no one knows the thoughts of God except the Spirit of God.

You will never know what a someone thinks about,NEVER so give your self a help and don't pretend to be God
 
Mwalimu JKN alisema " ...DHAMBI YA UBAGUZI NI MBAYA SANA..." Kwanini JF tuanze kubaguana? shiiit!

Kwa hiyo hata kama mtu analeta upuuzi kwenye masuala ya msingi basi watu wapoteze muda wao kumjibu kwa kisingizio kuwa kutofanya hivyo ni ubaguzi.
Crap.
 
pichaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nahitaji kuona maeneo ya kamnyonge, bweri, nyakato, mkendo nk watu walivoitikia!!
 
shukrani pj.
Unajua unapokuwa mshiriki siorahisi kupata picha nzuri.ninazo picha kwenye simu yangu lakini hazina ubora wa kurusha hapa.tupo na waandishi wa habari na wadau wengine naamini watazirusha kama walivyofanya.

Tupo pamoja.

kwa nini kwa sasa msingetoa elimu ya mapungufu ya katiba, badala ya kuendelea na dowans kila kukicha?
 
mi napenda kumwambia dada regia hivi aweke mtu hapo awe anapiga picha na kumpa then zinarushwa hewa hapa maana mimi hiku usokami nafatilia kwa makini taarifa hizi na maandamano haya
 
kwa nini kwa sasa msingetoa elimu ya mapungufu ya katiba, badala ya kuendelea na dowans kila kukicha?

yote yanakwenda sambamba....lengo letu chadema ni kuona huyu mvivu wa kufikili alyeandika barua ya kumfitini gedeon huko monduli anatoka madarakani.....hatuwezi kuwa na Rais asiyejua kitu
 
Mara: Peopleeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Awamu hii mpaka kieleweke hatuachi

Lema tumaini jema la madiliko ya kweli ya fikra mpya katiba mpya
 
JK yaani hapo alipo sijui anawaza nini...

huyu hata ukimuuliza 2+3 atasema ni tano

lakini ukianza na 3+2 ....atakwambia mwalimu hajatufundisha hizi!!!! ndo akili ya mkwere ilivyo
 
Niko uwanja wa Mkendo, huu umati wa watu ulioko hapa ni wa kutisha
 
Ndo tunaingia uwanja wa Mkendo, nitaendelea kuwapa updates wakuu
 
Wameanza kutambulishwa madiwani wa Musoma Mjini na sasa wanatambulishwa viongozi wa kitaifa wakiwemo wakurugenzi wa chama
 
Du! basi CCM matumbo moto hapo!!! lawama zoote kwa JK, eti udhaifu wake ndiyo unaimarisha chadema!!
 
Back
Top Bottom