[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

REGIA,
Mimi nadhani uongee na akina Mnyika/Halima/Slaa/Mbowe/Kiwelu/Wenje n.k kuhusu Jambo lifuatalo.
Siamini kuwa Chadema kama chama hakina idara ya mawasiliano ya jamii. Hivi inakuwaje watu wanaomba picha kutoka katika mikutano yenu? Ninyi mnapaswa kuleta picha na si watu waombe.
Hii ilikuwa kazi ya idara ya mass communication and mobilization. Msafara wa viongozi wa juu Chadema hauna mpiga picha!! Nina hakika kama mngetangaza nafasi ya mtu kujitolea katika umati tunaouona wangejitolea watu zaidi 100. Hata kwa malipo mgempatia kijana transport na pesa za kumwezesha isingefikia mahali watu wategemee picha za simu.

Ushauri: kila mkoa uwe na mpiga picha rasmi wa Chama, awe tayari kwa mambo kama haya, chama kimuwezeshe! Please Chadema deserves better than this!


Big up mkuu nafikiri lazima aajiriwe mpiga picha wa Chadema (Team ambayo inajihusisha na media in general) Huu ndio wakati wa kujenga nguzo kuu ile pesa ya ruzuku ya kila mwezi ni pamoja na kazi za chama wacheni kulala.
 
Thank you very much Regia. I enjoyed the nice Pictures. People faces are showing a new wave for change.
 
Big up mkuu nafikiri lazima aajiriwe mpiga picha wa Chadema (Team ambayo inajihusisha na media in general) Huu ndio wakati wa kujenga nguzo kuu ile pesa ya ruzuku ya kila mwezi ni pamoja na kazi za chama wacheni kulala.
Nikweli wahakishe kuna mtaalamu wa kupiga picha ambae atakuwa anawajibika moja kwamoja kwenye chama sababu si kila sehemu wanako kwenda kuna wataalamu wa kupiga picha kama tulizoziona siku ya maandamano Mwanza...kwani katika upigaji wapicha napo kuna utaalamu wake..hata hivyo nimefarijika sana kuona umati huo ukiwa umejitokeza kuwaunga mkono chadema...
 
beybnp.jpg

Nafarijika sana kuona nguvu ya umma ikishika hatamu, na si jeuri ya fedha! Tupo pamoja!!!
 
Wakuu Salaam!!!

Yale maandamano ya Kanda ya Ziwa leo yanahamia Mkoa wa Mara baada ya jana kuingia Geita, Sengerema, Misungwi, Kwimba na Ukerewe. Maandamano yatakuwa Musoma kuanzia Viwanja vya Bweri mpaka Uwanja Mkendo Musoma Mjini. Msafara wa Vikosi toka Mwanza mjini unatarajiwa kupokelewa na Mbunge wa Musoma Mijini Vincent Nyerere.

Dalili zinaonesha kuwa na leo CHADEMA itaiteka Musoma kwa jinsi ambavyo watu wamejipanga na kujiandaa kwa hamu maandamano haya. Maandamano yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.

Aluta Continua.

Kutoka Kitangiri Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

=====================
KATIKA PICHA


122c5g1.jpg

beybnp.jpg

Duuu, mafisadi wakiona utitiri huo lazima wabanwe na haja kubwa.
 
thats my home country (MARA), I thank all kwa kutuwakilisha vyema!
 
aaise hawa watu mbona sipati picha mie jamani??
mmh kweli watu pipo
 
Homa ya liberations itasambaa Africa nzima, kwani Africa ni moja!!!
Pro-Gaddafi na Pro-Kikwete watakiona cha mtema kuni!!!
 
Duh picha zinapendeza.

Tunamshukuru Mungu hatimaye wana wa tanzania waamua kuanza safari ya ukombozi wa kweli toka kwa mafisadi.
 
Together we can, hiyo ni trela tu. Kitaeleweka manake tumechoka. Mi ni university student mpaka leo ni ombaomba tu wakati kuna fisadi kama Lowassa, JK, Rostam wana host billions of money

hahaha,pole lakini utapata tu job,japo unaweza kutumia maarifa yako hata kwenye kilimo na ukatoka.ajira hakuna kijana
 
ukiona mpaka wakurya wamekubali kukaa chini na kutulia kama watoto wa nursery wanasubiri uji, bsi ujue CDM sio lelemama

Good work indeed
 
Cheki unavyopenda kujikweza! Huna tofauti yoyote na Mafisadi!

Jamani kama hiyo ni nafasi yake Regia kwenye chama chake na bungeni, kwa nini hasijitambulishe kwa hilo? Ni mbunge pia Waziri kivuli kwa wizara husika, kumshodolea hivyo dada yetu naona utakuwa unamwonea. Hiyo salutation iko ndani ya kanuni za bunge na katiba.
 
Back
Top Bottom