Picha: Lowassa Kanisani Leo

Picha: Lowassa Kanisani Leo

Magufuli kanisani? Muda huo anautumia kupiga chuma ili asishindwe kutekeleza sera alizoahidi jukwaani.
 
Magufuli kanisani? Muda huo anautumia kupiga chuma ili asishindwe kutekeleza sera alizoahidi jukwaani.

Chief Kama Magamba wangepewa Mamlaka Ya Kuamuru Kifo Basi Lowassa wangemuovadozi!...Inawakera Sana Kuona Raisi Wetu Kuwa Karibu Na wananchi wake, huku wananchi nao wakionesha Imani Ya Dhati Juu Yake!

#UgambaNiKazi
 
''MAMBA NI MAMBA TU, GOGO HATA LIKAE MAJINI MIAKA MILIONI LITABAKI KUWA LEVO YA GAMBA''

huyo magufuri Hata uenyekiti Wa Mtaa Hatumpi!...Uraisi Wa Tanzania Ni Kwa LOWASSA!

Ni lofa tu mwenye kuamini hivyo !
 
Kama kawaida yake na ulaghai wake wa kutafuta kura kanisani tena ashindwe katika jina la yesu.
 
Back
Top Bottom