Safi sana,Rais ni lazma awe mcha Mungu. Magu sjui hata anaendaga kanisa gani
Ndio.
swissme
Mungu wetu anakaa nasi mioyoni.hii ya kuwasanifu watoto wa Sunday School ni show off na kuzalilisha Kanisa.Magufuli anaenda Ikulu bila ulaghai huu
Alienda kuomba kura tena?
Mungu hamtupi mja wake. Sio wale wenye kuabudu mienge. Isaya 50:11
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge, enendeni ninyi katika mwali wa moto wenu,na katikati ya mienge mliyoiwasha . Mtapata haya kwa mkono wangu, mtalala kwa huzuni.
Alienda kuomba kura tena?
hiyo picha feki- haki ya mungu hao watoto ni wa Connacry tena mwaka 1990 si unaona Lowassa alikua haumwi
L Lazima
O October
W Wampe
A Atuongoze
S Sababu
S Sifa
A Anazo
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Ndio maanake! natutampa kuraAlienda kuomba kura tena?
Kanisa gani mkuu?... Imani Mwanza?