Hivi ni lini mimi nifah nitapata bahati ya kushikwa mkono na rais wangu kipenzi Lowassa?
Nimewaonea wivu sana hao watoto!
Alienda kuomba kura tena?
Alienda kuomba kura tena?
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Uko masaki au lumumba?
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akifurahi jambo na watoto wakati alikuwa akitoka kanisani kwenye Ibada ya Jumapili, Musoma.
![]()
Alienda Kuombea Watu Mapepo ya ccm yawatoke.
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Alienda kuomba kura tena?
Kwa walutheri ama??
Alienda kuomba kura tena?
We utakua sio mzima.... Kwaiyo ulitaka alale au.... Kipi kimeongelewa cha udini apo..... Ivi ivi unakua mjinga mjinga kutetea upuuzi... Lione