Elisabella
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 215
- 81
Mkiniwekea Picha Magufuli kama amewahi kwenda kanisan nampa kura yangu,
Zipo za matambiko kule Butiama na kuna moja alimbeba mtt akaanza kulia
Mkiniwekea Picha Magufuli kama amewahi kwenda kanisan nampa kura yangu,
Mkiniwekea Picha Magufuli kama amewahi kwenda kanisan nampa kura yangu,
Uko masaki au lumumba?
hiyo picha feki- haki ya mungu haso watoto ni wa Connacry tena mwaka 1990 si unaona Lowassa alikua haumwi
Rais lowassa kulihutubia bunge mwez november
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Magufuli haombi kura kanisani km huyo mdini
Hao watoto hawajui dili za kutoa wabaya wao jela.nisiseme sana
Hao Watoto Walijuaje Kuwa Ni El?
Siku hiz umekuwa mpole mkuu sijui kwa nn
Hahaaaa..kazi kweli mnayo...Mi mkatoliki na kura yangu ni Eddo. Na kabila langu ni Mnyamwez ila kamwe cmpi kura yule Mchato
Laigwanan noma aisee, watoto wamefurahi.
Anaomba kwa waganga na kuua Albino sio
Alienda kuomba kura tena?
bora Hao Watoto! ..Kuliko Wewe Husiyejua Chaguo Bora Kwa Maendeleo Bora Kwako Na Kwa Watoto Wako!...Pole Sana kwa Wanao Kuwa Na Mzazi Kama Wewe!
Lowassa Pekee Ndie Chaguo Langu!!
Utaleta ushahidi kisutu
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi