Picha: Lowassa Kanisani Leo

Picha: Lowassa Kanisani Leo

Hao Watoto Walijuaje Kuwa Ni El?

Mie siyo Mlutheri, lakini nafahamu kuwa katika Makanisa yao watoto husali peke yao (Sunday School), hivyo pengine wakati anatoka alikutana nao nje wakitoka kweye hiyo Sunday School yao. Kumjua EL, huyu ni kama superstar kwa Watanzania, hakuna asiyemjua kwa sura. Hakuna mpenzi wa Kandanda la Kimataifa asiyemjua Messi au Ronaldo kwa sura.
 
Yami ni iviiiiiiii wapiga makofi mjengoni kipindii mwiko. Acheni kutulaghai. Kwenda kanisani ni kifanyanya ibada huyo makufuli sijui ni mpagani huyo wai.
 
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi

Riz moko alivyoongea kuhusu ukanda ulileta hoja kuipinga kauli yake:what: au unafiki ndio umeuweka mbele😀😀
 
Alipo lowassa nasi tupo pia Mungu tusaidie tumalizie salama
 
CCM Kimewauma Sana Lowasa Kumuomba Mungu wake Kanisani, Huyo Magufuri Kamtafuteni Mjue Alikoenda Kuabudu!
 
Back
Top Bottom