Picha: Lowassa Kanisani Leo

Picha: Lowassa Kanisani Leo

Mungu hamtupi mja wake. Sio wale wenye kuabudu mienge. Isaya 50:11
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge, enendeni ninyi katika mwali wa moto wenu,na katikati ya mienge mliyoiwasha . Mtapata haya kwa mkono wangu, mtalala kwa huzuni.
 
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Haendi maana padri kasafiri
 
[=kbosho;14292678]mkuu kwa 1990 alikuwa na mlinzi yuleyule? mkuu mwaka 1990 kulikuwa chadema? Jee alivaa nguo cha chadema hapo ilikuwa ni mwaka 1990? aisee ukiwa CCM lazima ujichetue akil[/QUOTE]

Hiyo anawajibu lumumba walisema ile picha ya tarime
 
Aisee kumbe sikuhizi ht wanadamu wanaweza kujua YALIYO moyoni mwa mtu?

Biblia imesema Mungu pekeyake ndo anajua moyo wa mtu unawaza nn?
Umekuwa Mungu nn

mungu yupi ? maana wakina Gwajima wanadai wanaongea naye !
 
Hivi Magufuli huwa anaenda church kweli? Sijawahi kusikia was kumuona
 
Lowassa uso umefungunga amani tele na furaha juu kweli fisiem mlitaka kumuua kwa maneno
 
Hapa pia akiwa kanisa gani vile?

LOWASA.jpg
 
L Lazima
O October
W Wampe
A Atuongoze
S Sababu
S Sifa
A Anazo
 
Back
Top Bottom