chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,359
- 27,739
Ama kweli desparate times calls for desparate measures! Jamaa amechanganyikiwa hadi anaomba kura kwa watoto wadogo..huyu akiendelea hivi huwezi kushangaa anaomba hadi wanyama wampigie kura ya ndiyo
Mkuu Magufuli huwa anafanya Ibada kweli?