JAPUONY
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 383
- 186
mgombea urais wa tanzania kwa tiketi ya chadema, edward lowassa akifurahi jambo na watoto wakati alikuwa akitoka kanisani kwenye ibada ya jumapili, musoma.
![]()
ameacha ngapi leo?
mgombea urais wa tanzania kwa tiketi ya chadema, edward lowassa akifurahi jambo na watoto wakati alikuwa akitoka kanisani kwenye ibada ya jumapili, musoma.
![]()
wewe acha mm siku nilipoongea nae kwenye sim kwa mara ya kwanza ilikuwa 2013 yaani nilifurahi sana anaongea vizuri. Kesho nakamata fursa lazima nimshike mkono. Leo jion ntamtext
We utakua sio mzima.... Kwaiyo ulitaka alale au.... Kipi kimeongelewa cha udini apo..... Ivi ivi unakua mjinga mjinga kutetea upuuzi... Lione
Wewe utakuwa mshirikina,unaweza ingia nyumba ya ibada usionwe na watu?CCM mnakazi.Kusali kwa kujionesha ni haramu kwa Mungu
Unataka umshike mkono mr President? Iyo ni bahati!
Hao Watoto Walijuaje Kuwa Ni El?
Laigwanan noma aisee, watoto wamefurahi.
Kusali kwa kujionesha ni haramu kwa Mungu
Hao watoto hawajui dili za kutoa wabaya wao jela.nisiseme sana
zawalutheri zitampeleka magogoni
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Alienda kuomba kura tena?
Alienda kuomba kura tena?