(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

wewe baki tu kwenye Keyboard yako dar es slaam ukipiga kelele kuwa CDM inashinda,,,,,
Wenzako tulio field tunafahamu what is real happening. Viongozi wa CDM hii wiki yote wameingiwa na hofu kubwa sana!!
Kinachonifurahisha kwa sasa nikuwa ccm mnaiogopa sana chadema tofauti na zamani duuu na bado!
 
mimi nawahakikishia wana jf wenzangu arumeru ni ya chadema na naomba rejao na mgamba wengine take note hii kitu na mods wote kama nimesema uongo tar 1 april saa 6 usiku naomba ban ya miezi mitatu...magamba huku wamekwisha jamani ni kama vile wapambe wa bwana harusi wanasindikiza mume kuchukua mke wake tar 1...sina mengi nikiripoti toka user river ni mm member mwenzenu
 
We mwongo. Ulitembeaje umbali wote huo kwa siku moja? Je ulikopita ni Barabarani au vijijini /kwenye makazi ya watu? Kama ni bararabarani, natumai ilikutana na magari na si watu, na hao uliokutana nao ni wale waliopewa 20000/= na si vinginevyo

inaonekana we huijui jiografia ya ARUSHA so kaa kimya, mtu anaweza akatoka moshi akaenda arusha na akazungukia maeneo yote tajwa hapo asimalize hata masaa matatu!
 
Open picha hii hapa kuona kinachoendelea arumeru

Vibaraka hao,wanajidai kupga kampeni alafu mwisho wa siku wanaishia kutelekezwa. Wanakosa haki zao barabarani,wanakabwa na wanyang'anyi wanapata kipgo na mara nyingne wanapoteza maisha na vitoyo vyao vinachukuliwa.
 
Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg
 
Nimeikuza tu ili tuweze kuiona hiyo "timu ya ushindi" Tafsiri ya Ushindi ni nini?


Hii picha kwa tuliosomea kusoma facial expression...tells it all ....they are in a serious pressing business......Naona na mkuu wa wilaya mama mercy silla ...ambaye ndiye mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama hapo wilayani naye yupo kwenye kupanga mkakati wa ushindi wa ccm..........wakati in the actual fact angebidi awe neutral......kama refa............kweli tunahitaji tume Huru!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mungu wabariki wana Arumeru East, CDM na Tanganyika kwa ujumla, jimbo ni la wazalendo, PEOPLE!
 
lowassa aja arumeru na kupokelewa na pikipiki zaidi ya 100, magari zaidi ya 50, mabus na malorry.. watu wanashangilia na kupiga kelele kama lowassa ndo mgombea,huku arumeru hakutoshi, barabara zimefungwa, ameingia kwa aina yake.

lowassa ameingia jukwaani na kukishukuru chama, viongozi wa chama, wabunge, na wananchi woote kwa nafasi aliyopewa. akasema amekuja kumnadi sioi na sio kutoa matusi.

akawakumbusha wameru historia ya jafet aliyepigania arumeru mpaka UN miaka ya 52-54 na kuja kushinda ardhi yao, pamoja na kuingia kwenye chama cha Tanu ambacho sasa ndio ccm na akasisitizia hakuna mtu anaweza kuwadanganya leo wala kubadilisha mawazo yao juu ya ccm kwa walipigania uhuru pamoja.

akaongelea kero za ardhi kwa arumeru na kuwaambia wananchi kuwa 'sasa tatizo la ardhi arumeru limekwisha kama ukimchangua sioi sumari na kwamba rais wetu kikwete ametoa eka 5000 za wananchi kurudishiwa ardhi zao arumeru' na vile vile kusisitizia kuwa wabunge wote wanaomuuunga leo mkono baada ya sioi kuapishwa, atasimamia na kusaidiwa kulimaliza swala la ardhi pamoja na maji. aelezea chanzo cha maji cha arumeru na inavyotumika mpaka monduli.

watalii wamepunguza safari za kuja arusha kutokana na maandamano na ugomvi kila siku, ndizi hazipandi bei kutokana na maandamano ya arusha mjini, upinzani wamekua watu wa fujo badala ya utendaji kazi,na wakipigiwa kura utaenezwa hadi arumeru, wamearibu na kuivunjia heshima mkoa wa arusha na hotel nyingi zinashindwa kuendeshwa kutokana na fujo.

amemaliza sasa ivi na kuondoka, natafuta wapiga picha watume picha..

watu wamemshangilia sana sana, wakina mama wanamlilia kumshika mkono na kumbusu, wengi wanashangilia wakisema 'lowassa ndio mkombozi wetu'

sasa ivi msafara wa sioi unaelekea sehemu nyingine kuendelea na mkapa.

nawakilisha... more updates to come..yoyote mwenye picha asaidie
 
aona picha ni moja tuu na hatuna uhakika kama ni ya uko
Nana mnajing'ata ng'ata tu....machalii wa moshi na Arusha mjini mliowakodisha mwisho wao kesho...Tunawaacha wana Arumeru waamue wenyewe!!!
 
Back
Top Bottom