(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

Ukiomuona tena mwambie historia ya Jafet Kirilo haina msaada kwa CCM. Mkewe Kirilo alimshika Joshua Kichwa na kumbariki, na kama haitoshi kapandisha Bendera Ya CHADEMA pale Nkoaranga.
 
kwa wale wapenda fujo kuna zawadi yenu hapa , zipo zimeletwa 28

428979_369176749773940_100000448559311_1320290_284476922_n.jpg
 
tumechoka na maandamano ya kila siku watu wa Arusha.
Maandamano yepi hayo mkuu na wewe umekuwa mtu wa mipasho????? Hata hivyo pamoja na sheria uchwala za CCM yako, maandamano ni haki ya raia na polisi kazi zake nikuwalinda waandamanaji!!!! Watu wakidai haki, wapeni mkigoma mambo ya Libya yanawasubiri!!!!

 
Tarehe 2 April 2012 ni siku ya malalamiko ya kuibiwa kura kitaifa yatafanyika humu Jamvini.
 
kwa wale wapenda fujo kuna zawadi yenu hapa , zipo zimeletwa 28

428979_369176749773940_100000448559311_1320290_284476922_n.jpg
Yakiwekwa mawe makubwa barabarani yatarukaje??????? Waulize jamaa wa Mwanza!!! Chunga Mkuu msije shuka huko bila magari, hiyo ni Meru sio Igunga!!!!

 
Watu wa kichina yaan kila kitu cha kichina unafiri wanadanganyika?amezungumzia maji aliyopeleka monduli?

isipokuwa matusi yaliyotolewa na lusinde tu ndo siyo ya kichina bali niya ccm
 
Uwezekano wa CDM kushinda ktk uchaguzi huu wa Arumeru ni sawa na uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuwa Papa Mtakatifu.
Mkuu naona umechanganyikiwa Mheshimiwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini wala si papa wa Vatcany City!!!!!



 
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG



03_12_v5kb2e.jpg
 
Mungu wabariki wana Arumeru East, CDM na Tanganyika kwa ujumla, jimbo ni la wazalendo, PEOPLE!

Hatutaki umangi Arumeru. Tunataka Demokrasia ya kweli, si mambo ya NGO ya CDM kuja hapa na kututawala kama wafanyavyo Moshi.

Angalia wateule wenye kampuni yao (CDM) walivyojipanga bungeni....aaarrrhghghhgghggh.....puh!!


CDM - Utawala wa Kifalme.JPG
 

Attachments

  • V ya CDM.jpg
    V ya CDM.jpg
    61.3 KB · Views: 24
fisadi hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG



03_12_v5kb2e.jpg
 
Back
Top Bottom