Hizi zaweza kuwa za leo maana Shy Rose kambi ya EL na yuko pale kuomba ridhaa ya ubunge EAC unajua tena..Mkuu ni kweli hizo picha ni za mwaka 2010. Kama hiyo aliyepo kwenye gari ni Monduli mwaka 2010 na sio Arumeru.
Picha za leo ni hizi.
Mkapa akiwa KIA baada ya kupokelewa hapo leo
Na hii ya pili Lowassa akiwa wilayani Monduli leo ambapo Meneja wa Uhusiano wa NMB alikwenda Monduli leo kutoa msaada ya sh milioni 10 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.