(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG

03_12_v5kb2e.jpg

Edward Ngoyai Lawasa, Rais wa Jamhuri ya Tanzania...Awamu ya Tano. Mbona naona kama tune haijakaa vizuri sana...? duh, ngoja tuone.:scared:
 
attachment.php

Mambo yatakuwa hivi baada ya matokeo kutangazwa
zz4.jpg
 
Atoe tamko juu ya mgawo wa umeme uitwao mitambo chakavu. na kutonyesha mvua arusha.
 
Kuhusu tatizo la umeme kasema analeta kampuni gani tena? Na mvua ya kutengeneza kampata mganga? Alishindwa kuyatatua matatizo hayo mda wote akiwa mbunge wa jimbo mkoani humo na hata akiwa waziri wa maji ha hata ardhi, bado hata akiwa waziri mkuu, sasa iweje mtoboa sikio ndo aweze kuyatatua matatizo hayo? Anajimaliza sasa.

ni kweli uandikayo, Lowassa amekuja kumwombea mkwewe ubunge ili aishi vizuri na mwanaye PAMELA kwa kusinzia bungeni! Mengine hayo aliyosema ni ghiliba tu.
 
Nimemfuatilia EL maongezi yake hapa katiti mwanzo mwisho, lowasa ni kama amekuja kukiri makosa yake yote, kakubali matatizo yaliyopo ya maji, ardhi, barabara nk. Mwishowe kasema hakuna aliyekamilika sijaona jipya.
 
Halafu vijana mnadai ati mageuzi yataletwa na vijana?..

Mkandara,

Vijana wameingizwa katika mduara wa umaskini,unapewa buku tano unamshangilia/unashangilia hata kitu usichoamini.Hata tubadili katiba mpya bila kubadilisha fikra ni tatizo.Kagame aliweza kubadilisha fikra za watu waliotoka vita ya wenyewe kwa wenyewe.Aliweza kubadili fikra kutoka Rogue state sasa hivi kuna progressive state

That's why mara nyingi natamani njia ile nyingine tusawazishe mambo ndiyo tuanze upya.Watawala,cartel inategemea umaskini mentally and materially wa vijana walio wengi ili wapate power.Vijana wa kitanzania wameondolewa katika kundi la ujasiri na watu wanaotaka kuwatumia kama political bridge. Mkakati wetu upo njiani tutawekana sawa tu...siwezi kuwalaumu vijana hawa

Natoka kidogo mkuu wangu
 
changa la macho hili. Kajipange upya ndo uje kudanganya watu. Uctufanye wote watoto wa nusury wewe. Picha imechakachuliwa kabisa.
 
Unajivunia wingi wa watoto wa shule watoto wetu wanapigwa na jua kwa manufaa ya wanasihasa
 
Nina wasiwasi na authenticity ya hii picha, kwani ukiacha hawa watu wawili wanaoonekana kwa dhati wamevaa kiccm wengine wanaonekana kama vile wananyoosha mikono kuashiria alama ya Chadema "Vema".

Lakini pia nimejaribu kuiangalia kwa karibu sana haionyeshi uhalisia, nina wasiwasi hapa kimefanyika kitu cha "photoshop", kwani hata kama lowa-hasa ameingia arumeru na msafara wa malori na mabasi yaliyojaa wapambe, sidhani kama hii picha inaonyesha uhalisia. Yote kwa yote ngoma ni jumapili-kidile mwali kuwekwa hadharani!!
 
CDM kazi mnayo....tafuteni cha kufanya, achaneni na siasa!!!

wa kuachana na siasa ni wapinga ufisadi wa bandia ndani ya ccm kama NAPE NNAUYE, SAMWELI SITA NA OLE SENDEKA. chadema ni chama makini cha upinzani TANZANIA. ccm lowassa ameiweka mfukoni!
 
Unajivunia wingi wa watoto wa shule watoto wetu wanapigwa na jua kwa manufaa ya wanasihasa

Mbona naona wanamshangaa badala ya kumshangilia?
Piki piki 100 x1000 = 100,000
Cheap popularity!

Nina wasiwasi na authenticity ya hii picha, kwani ukiacha hawa watu wawili wanaoonekana kwa dhati wamevaa kiccm wengine wanaonekana kama vile wananyoosha mikono kuashiria alama ya Chadema "Vema".

Lakini pia nimejaribu kuiangalia kwa karibu sana haionyeshi uhalisia, nina wasiwasi hapa kimefanyika kitu cha "photoshop", kwani hata kama lowa-hasa ameingia arumeru na msafara wa malori na mabasi yaliyojaa wapambe, sidhani kama hii picha inaonyesha uhalisia. Yote kwa yote ngoma ni jumapili-kidile mwali kuwekwa hadharani!!

Hizi picha za 2010

Mbona wanafunzi na wafuasi wa Chadema wengi zaidi hapa?
 
Back
Top Bottom